Tamasha la mwaka huu Mwanza, wananzengo hamjawatendea haki

Pointi 100%
 
Show ya Tanga haikuwa yake alipanda kumpa kampani Blue
Itakuwa ilipangwa hakuna linalotokea bahati mbaya na huenda alilipwa kufanya hivyo maana nakumbuka baada ya fiesta watu ndipo walikuwa wanafunguka kuwa idea ya flani kutokea kama suprise alipanga Ruge nakadhalika na kadhalika
 
Wewe ni G Habash au B Dozen? Mnona unajiweka mstari wa mbele sana kusafisha Miguu ya bata?
Kutofautiana na wewe kwa kukupa facts hakunifanyi kuwa mfanyakazi wa CMG na hata ikiwa kweli kuna tatizo kwani?
Watu wanaisema CMG miaka rudi miaka nenda lakini imesimama tu miaka youte mpaka sasa Fista haijapata mpinzani japokuwa kila mwaka ikianza threads humu uwa zinasema haina mvuta bora ya mwaka uliopita yani umekuwa kama wimbo but yet it still stands.
Lakini ni kawaida kwa kila kitu chenye mafanikio hata Mhasimu wa clouds Diamond naye alianza tabiriwa kupotea zaidi ya miaka minane iliyopita ila mpaka leo yupo anazidi kupanda.
 
"Fiesta bado inatamba na ukitafakari kwa undani ni kwamba ile show hawaingizii ela, ela inatoka kwa mdhammini ambaye ni tigo "
Huo ndiyo mstari niliyouandika au unapinga kuwa sikuandika hivyo rudi kwenye thread usome upya.
Wabongo Bwana eti wasanii wa kipaimara, sema tu watu mnaichukia CMG wakati mnaisikiliza clouds na kufuatilia fiesta.
Juzi EFM walikuwa Tanga pia naomba uniambie walipeleka wasanii gani wa bei ghali ambao siyo wa kipaimara? Show za bure wanazofanya EFM uwa wanapeleka wasanii gani? Mbona uwa hamsemi hilo?
Narudia sema nilichokiandika ni hiki "Fiesta bado inatamba na ukitafakari kwa undani ni kwamba ile show hawaingizii ela, ela inatoka kwa mdhammini ambaye ni tigo " kama unaweza kuelewa nimemaanisha ela ya kugharamia show haipatikani kwenye viingilio kwakuwa ukifanya calculation ya haraka wanachokusanya kwenye viingilio ni kidogo compared na walicho invest hapo ndipo ugumu wa kuandaa show kama fiesta unapotoka. Kupata mdhamini kama tigo siyo jambo la mchezo lazima awe ameona potential ya uanchokifanya na awe ana hakika atapata promo la maana kutokana hizo show.
Na tigo anapta promo kweli maana kila kipindi kuanzia asbh mpaka asbhi anatajwa tu.
 
"Fiesta bado inatamba na ukitafakari kwa undani ni kwamba ile show hawaingizii ela, ela inatoka kwa mdhammini ambaye ni tigo "
Huo ndiyo mstari niliyouandika au unapinga kuwa sikuandika hivyo rudi kwenye thread usome upya
Hicho uluchoki quote ni sawa useme side na saidi, Yusuph na Joseph kile kile au hela ya mdhamini sio hela. Kitu hakiingizi hela alafu bado unakiundia chombo maalumu(Prime Times Promotion) kwa ya kuratibu shughuli zake, hamna kitu kama hicho kaka Fiesta wanaingiza hela kupitia viingilio na wadhamini na ni hela ndefu mwisho siku zote zinahesabika kama faida zitokanazo na Fiesta.
 
Inaelekea hujaelewa, maana yangu ni kwamba show kama show kwa kiingilio haingizi ela inayotosha kuendesha hiyo show, and the bottom line ya kusema hivyo ilikuwa kukueleza ni kwanini wengine hawafanyi show za namna hiyo. Fiesta inaendeshwa kwa udhamini wa tigo na wala siyo viingilio ndiyo maana nilimaliza kwa kusema kuandaa show kama fiesta ni vigumu sana ukitaka jua hilo waulize Jux na Vanessa ambao wao wenyewe wanakiri kuwa wasanii waliokuwa nao walikuwa wanawapiga push tu wanaisha kuwalipia usafiri ma rmaradhi lakini kasheshe walilokumbana nalo si la kitoto na tour yao ilipoisha walishukuru sana Mungu.
narudia tena kwa kiingilio Fiesta ni Loss tu imesimama coz ya uthamini wa tigo.
 
Binadamu tunatofautiana sana,,,,,, hivi nipoteze muda wangu niende kwenye huo ujinga eti.......MIKONO JUU....MIKONOJUU.....SAY YOOO!!!!, unashangilia recorded CD? na makelele ya mtuu mmoja????
 
Binadamu tunatofautiana sana,,,,,, hivi nipoteze muda wangu niende kwenye huo ujinga eti.......MIKONO JUU....MIKONOJUU.....SAY YOOO!!!!, unashangilia recorded CD? na makelele ya mtuu mmoja????
Hahahaaaaaa Mkuuu kuna hawa beki tatu, Machinga, Wanafunzi walioko Mavyuo kwa kifupi Vijana walioko kwenye Barehe huwambiii kitu kuhusu kwenda huko ili nae apate cha kusimulia Ukubwani
 
Umeongea vizuri, hao uliowataja ni wasanii si wanamuziki.....watu wanataka muziki wa live, sasa uje uwapelekee wasanii wanaoimba playback unataka wahudhuliaji wafanyaje? Wapelekee wapenzi kitu cha uhakika, muziki si playback.
 
kab

yaani wameharibu sana aisee, nadhani kati ya sehemu zote walizopita Mwanza wameharibu haswaa
 
hahahaha punguza kumbomoa mdau
 
Binadamu tunatofautiana sana,,,,,, hivi nipoteze muda wangu niende kwenye huo ujinga eti.......MIKONO JUU....MIKONOJUU.....SAY YOOO!!!!, unashangilia recorded CD? na makelele ya mtuu mmoja????
ila umeweza kucoment kwenye uzi unaozungumzia Mikono Juu, Piga kelele, Say yooo..
 
kab

yaani wameharibu sana aisee, nadhani kati ya sehemu zote walizopita Mwanza wameharibu haswaa

Muziki si playback jamani, wasanii wa kibongo fleva wanaboa mno....kucheza hawajuwi na wal hata kuimba hawajuwi.....yaani shida tupu na ndiyo maana watu wamewachoka.
 
Kibiashara udhamini una malengo mawili
1. Tigo wenyewe kujitangaza
2. Namna fulani ya kupunguza kodi kwa mapato waliyoyaingiza kama hujaenda shule hili swala la kodi unaweza usilielewe kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…