Zanzibar 2020 Tamasha la nyimbo za CCM Zanzibar ovyo - Mgombea Urais asepa kiaina

Zanzibar 2020 Tamasha la nyimbo za CCM Zanzibar ovyo - Mgombea Urais asepa kiaina

Maalim Sefu amewatangazia wafuasi wake watembee na majambia, unadhani wazanzibar hawajui hilo?
Mimi mwenyewe muda huu naelekeo Kkoo shimoni kununua kisu kikali halafu nakinoa kiwe kikali zaidi.

Nikikutana tu na mboga mboga za kijani zenye kuwasha nakifanyia kazi.
 
Pole mgombea wenu amekataliwa na Watanzania
Aliwadanganya Wazungu atashinda Urais ili awauzie Nchi
Ha ha tangu upate matoto matatu machupa umekuwa nangebe kweli tuliza mshono wewe
 
Zanzibar hawaipendi ccm sijajua imewakosea nini
 
Mimi mwenyewe muda huu naelekeo Kkoo shimoni kununua kisu kikali halafu nakinoa kiwe kikali zaidi.

Nikikutana tu na mboga mboga za kijani zenye kuwasha nakifanyia kazi.
Ndo siasa mnazozipenda.

Mtayasikia madaraka kwenye bomba mwaka huu
 
Dahh ila jamaa upo vizuri kwa kusimulia.. Mimi nadhani iyo Mibonge ni mtu na mkewe hahahahh
 
Majuzi walikuwa na kongamano pale SUZA, zikaruka ngumi wenyewe kwa wenyewe. Naskia alisimama kijana wa CCM na kuhoji uhalali wa uteuzi wake kugombea urais Zanzibar wakati hajafikia vigezo ikiwemo kukaa miaka 5 Zanzibar wakati mda wote jamaa alikuwa anaishi bara. Basi wengine wakanuna wakaanza kudundana.

Sijapata story kamili lakini kama kuna mtu anajua chochote, hebu atupe habari.

CCM Zanzibar imejigawa kutokana na kuenguliwa wateuzi wake. Tunasubiri wakuvushwa kwa mitumbwi waje wawapigie kura.

By the way, Sirro naskia alisema siku ya uchaguzi ataenda kuhamia Pemba, kama kuna mtu anamjua amwambie kuwa ASEME ATAHAMIA WAPI WAPEMBA WAJUE MAKAZI YAKE WAJE WAMSALIMIE, si vizuri mgeni kuhamia sehemu kama hujitambulishi kwa majirani 😀
 
Tangu mapinduzi, ASP na baadaye ccm haijawahi shinda uchaguzi Zanzibar.
Huwa wanasaidiwa na ccm bqra kupora ushindi.
Sio tangu mapinduzi, yaani kabla ya mapinduzi ASP/CCM haikuwahi kushinda Zanzibar ndio wakaona isiwe nongwa wakapindua. Sema Asha Bakari alisema kuwa nchi hawaitoi kwa makaratasi, sasa huenda mara hii kama Maalim Seif atasimamia kauli yake, nchi wataitoa kwa damu kama walivoichukua.
 
Ulianza siasa Baada ya lissu kupigwa risasi ?
Hali ni tia maji tia maji huko unguja!! Pamoja na "wabunge na wawakilishi kutaka wasipingwe" ndio maruhani wanatishia amani sasa kwa kura zao zijazo!!!
Lazima mpagawe na huenda mkashikana uchawi kabla ya oktoba!!
 
Labda Gwajima amfufuwe huyo uliyemweka kwenye avatar yako
Kama alivyomfufua Amina Chifupa ati leo Gwajiboy licha ya uongo ule anataka watu wamuamini kwenye ubunge!!
Mtu anasimama kwenye mimbari anausema uongo kwa jina la Mungu na bado watu wanaubariki uongo ule na anajithibitisha kauli zake si za kweli bado watu wanaamini kuwa mtu yule muongo "asiyeutaka urais, wala ubunge au udiwani kwa maana ni kazi za chini kuliko kumtumikia Mungu!!" Leo ni mtu huyohuyo anautaka ubunge kwa gharama zozote!! Kwa kweli watakaomchagua unoboy wakapimwe... (namnukuu Mh. Mkosamali) akili!!!
 
Back
Top Bottom