Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.

Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa za jadi, kazi za sanaa na kadhalika.


 
Ningependa kukufahamu mkuu wewe Ni Nani ? Nimetokea kuvutiwa na ripoti zako
 
Kwahiyo hizo simbi na vibuyu ndio utamaduni?
 
Tamasha kama hilo lilishawahi fanyika ndani ya A.Mashariki?
Nalog off Z
 
Napenda sana matamasha kama haya kwa mwenye kujua kwa hapa Dar huwa yanafanyika wapi,naomba utupe muongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…