Tamasha la Wasafi ''Wasafi Festival" jijini Dar es Salaam

Huyu DJ anaanza kuboa.. Kwanini hawakumleta Mafuvu? Ndo anaweza haya mambo ya kucheza na jukwaa la matamasha
 
Nmeanza kusoma tu apo kwenye Group Members wa Whatsap Laki tano nimeona unatupiga Kamba ni Grup au Magroup au kuna WhatsApp nyingine nisiyo ifahamu?
 
Jamani sipo youtube wala kwenye Tv. Mambo yanaendelea vipi?
 
wasanii wote walioimba hadi sasa ni takataka shoo yenyewe ni takataka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…