Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Kiba Anatafuta mafanikio akiwa ghetto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mondi...namkubali sana huyu jamaa ingawa nyimbo zake zmejaa upupu
Namkubali ni hustler
Ila kiba naskia show zake anazifanyia ghetto hapendi kujitangaza