Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

Bora kuvunjika mguu utaenda hospital kutibiwa ila ukishakuwa CCM haya ni maradhi mabaya sana, hawa watu hawajulikani wanaugua macho, masikio, akili, moyo .
Asiee hongereni CCM kwa hili toleo la binadamu mlilounda.
 
Siyo korosho kweli? Wangeenda mwezi wa tisa au nane watu wangejaa?
 
Sijui shule yako ikoje but fanya tadhimini wanaposema Watanzania maskini wanamaanisha wa mjini tu au wa wapi
Wamijni wengi wao ni wafanya kazi katika sekta mbali mmbli kama sekta binafsi na watumishi wa serikali katika wizara na institutions mbalimbali na wafanyanya biashara na watalii.

Vijijini wengi wao ni wakulilima na wavivu pia kuna wafanya biashara na wafanya kazi kwa asilimia mdogo sana.

Mkulima na mvuvi hawezi kosa chochote cha kumsibisha, kwani yuko independent.
 
Hiyo akili hata darasa LA saba kama Mimi haiitaji kunyambua ni kutupilua mbali huo uzi
 
Jiulize bibi yako mama,babu na baba yzko alikuwepo hapo?
 
Write your reply...
we hujui ni msimu wa koro show, wamakonde wako njema kipindi hiki, usiwachezee kabisa..
 
Ila Tanzania kwakweli hapana..... Haya indicator nyingine hiyo ya kupaa kwa uchumi.....

Ndo Mana CCM tunadharaulika kwa wajinga wachache Kama nyie.
 
Watu wa uchumi mtusaidie kuhusu mada hii maana kuna njia nyingi za kupima hali ya uchumi.
 
Tumia akili kuwaza vizuri ,mosi hivi unaweza kutupa idadi ya watu waliohuzuria na uwiano wa wananchi ya mtwara kwa ujumla ?

Pili je population ya watanzania wengi masikini wa kutupwa wanapatikana wengi mijini au vijijinii??

Tatu je chama chenu na serikali yake wanajiita watu wanaotetea wanyonge je sindio hao wanyonge wanaouza gunia la mahidi 24k bila msaada wowote wa sirikalii??

Je lisu hayuko sahihi akisema watu wanashindia mlo mmoja??acha ushabiki wa kijinga mkuu hii nchi ni yetu sote
 
Lissu na wewe wote ni wanasiasa ndo maana kila tukio unalichukulia kisiasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hapana mimi nayachukulia matukio mengi ki-realistic na kitaalam. Lissu ni mwana sheria na ana deal na siasa zaidi. Kama ambavyo Lissu amebobea kwenye Mambo ya sheria na siasa mimi nami naweza sema kuwa ni mwana sayansi na ni mmoja wapo wa watu wachache Tanzania ambao tumebahatika kuwa na utaalam ambao ninao. Siasa na sheria sizijui vizuri bali nasomasoma tu kama wengine.

Ninacho weza kukuhakikishia ni kuwa nina elimu ya kutosha na ninajiamini katika mambo mengi ninayo Comments kuhusu fani yangu. Sibahatishi au kugusa gusa maneno bali mengi ninayajua na kuyaelewa. Mimi sio msomi wa vitabu tu bali pia nina experience ya kazi yangu niliyoisomea.

Napenda pia utambue kuwa mimi ni product ya vyuo vya nje na sio product ya vyuo vyetu vya kudesa kwa ajili ya mtihani. Nimefanya practicals na kazi katika makampuni mbali mbali ya kimataifa nje na kujifunza mambo mengi sana ya kiufundi na uundaji. Na advantage kubwa ambayo ninayo ni kuwa naijua elimu yetu na naweza linganisha elimu yetu na elimu ya vyuo vya nje. Najua tofauti yake. Aliyesoma Tanzania utamjua kwa porojo za siasa na propaganda za maazimio na mafanikio.

Naomba jiulize kitu kimoja tu, kwa nini ndugu zetu wakenya wanatushinda sisi katika mambo mengi, wakati sisi tuna kila kitu nchini? Wana nini wenzetu kuliko sisi? Ukipata jawabu la swali hilo hapo ndiyo nafikiri utajua kuwa sisi ni nani na tuna capacity gani ya utendaji wa kazi.

Ni kupe kidogo hapa tabia ya mtanzania kulingana na jinsi nilivyo m-observe. Mtanzania kiasili ni mvivu sana na anapenda kufanya kitu kwa mazoea. Kujituma kwake ni vigumu sana. Ni mlalamishi na msemaji sana na anapenda sana kujiona yeye ndiyo ana akili kuliko wengine wote. Mtanzania ni bwenyenye na ndiyo maana tuna penda sana kufanyiwa kazi.

Si utakumbuka kwa mfano Air Tanzania. Tulikuwa na ndege moja tu kabla ya Magufuli hajawa Rais, lakini tulikuwa na wafankazi zaidi ya 200 ambao hawafanyi kitu bali kupokea mishahara ya bure kutoka serikalini. Mfano wa pili kwenye BOT kulikuwa na list ya viongozi na watoto wao ambao walikuwa wako katika pay list ya mishahara kama wafanya kazi lakini hawafanyi kazi yeyote ile, kazi yao ilikuwa kupokea mishahara ya bure. Aisee huo ni utamaduni mbaya sana ambao hathari zake ni kuteketea kwa taifa.

Sisi in general tuna tabia za kiarabu na kihindi, kwani kutwa kucha tunawaza kufanya biashara tu ya kununua na kuuza bidhaa na kutamani kuwa na mapesa mengi ili kuponda life. Katika matumizi ya pesa hapo tuko vizuri, lakini kwenye kuchuma pesa sio fani yetu.

Tofauti ya Lissu na mimi ni kwaba mimi ni mzalendo hasa. Pengine hata kumpita Magufuli, kwani kama ninge kuwa Rais wa Tanzania ningefanya vitu kama Cyprian Musiba anavyosema; nisingekuwa na huruma na wapinzani wanao pinga pinga maendeleo ya nchi yetu kama akina Lissu, Msigwa, Mbowe, Lema na Zitto. Na wale watumishi ambao ni ndumi la kuwili na wahujumu wa mali za umma ninge wafyekelea mbali na kuwaweka jela wote au kuwafukuza nchini. Ikiwezekana wasaliti wote kuwau kisiri siri.

Mtanisamehe watu wa namna hii sio binadam kama sisi. Ni wanyama wasio jali maisha ya binadam wenzao hata yale ya mama na baba zao kwa ajili ya uroho wa madaraka. Wewe utakuwa binadam wa aina gani ambaye una waomba wazungu wasitoe misaada kwenye serikali ya Magufuli ili wananchi wanao ishi humu wateketee. Hawa watu wazima kweli? Any way tuachane na hayo.

Mwisho ningetamani kupata nafasi ya kukuthibitishia uwezo wangu. Tuombeane uzima. Mungu akupe nguvu na baraka nyingi. Asante sana.
 
Wakati naanza kusoma nilikuwa makini nikijua kuna kitu cha muhimu sana kinataka kuongelewa, ulivyoanza kutaja tu sijui CHADE...... nikaacha kuendelea kusoma tena....hizi akili za watanzania siku hz zimefungwa kabisa hata kufikiria vizuri inakuwa shida.
 
Chadema ni wapumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…