Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

Mkuu namjibu huyu jamaa alotoa mfano wa kipuuzi kabisa wa matamasha ya kina diamond kutafsiri hali ya maisha ya watanzania.
Kama hicho ndio kipimo cha hali uchumi kuwa nzuri basi kabla yake hali ilikuwaje maana kulipa kiingilio cha 10,000 na burudani mara moja kwa mwaka, vijana kama hawa kwa kweli ndio wametufikisha hapa tulipo maana wanafurahia maendeleo ambayo wanaambiwa na wanasiasa wakati yeye mwenyewe yupo palepale
 
Hiki ndio moja ya vile viwanda vilivyochukua ile trillion 1.5?
 
Huwezi jua ukata uliopo nchi hii wakati unasubiri tu mumeo akuletee
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Zinakutosha kweli wewe? Vijana kujaa kwenye matamasha ndio kiashiria cha uchumi? Hiyo 10,000.00 aliyoenda kutoa kwenye fiesta/tamasha unajua kaisotea siku ngapi???????????? Hao uliwaona wanashangilia kawatafute kama bado wana hizo shangwe.
 
Maneno Meier hayo mambo mabaya yote uliyoyaorodhesha wakati yanafanyika ni chama gani kilikuwa madarakani kama si CCM? Na wakati huo Magufuli si alikuwepo kama Waziri, Mbunge na Mjumbe wa vikao vya CCM?

Huu utetezi wako unanirudisha kwenye kushangaa, hivi mna nini nyie watu!?
CCM ya awamu ya nne sio CCM ya awamu ya tano. Makada walio kuwa wakiwavumilia makupe wengi wao hawapo au hawana say, sina haja ya kuwataja hapa nategemea unawajua.

Magufuli toka yuko waziri wa Ujenzi na Mawasiliano alikuwa anajitahidi kutekeleza wajibu wake pamoja na vipingamizi vikubwa alivyokuwa anavipata. Na ndiyo maana akaitwa Magufuli "The Bulldozer" kwa utendaji wake kazi kwa ufanisi bila kujali kutumbuliwa au kuhamishiwa wizara nyingine au umesahau?
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Mtwara hela ya mkupuo ya korosho, Kahama kama kawaida madini madini...hawa jamaa wanasoma ramani ya hela wapi ipo. Waambie wakafanye matamasha yao maeneo ya vijijini na miji midogomidogo kama watakubali, ilhali huko ndiko kuna idadi kubwa ya Watanzania.
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Maisha Magumu watu wanafosi tu.Watu wamemvua cheni diamond huku naye anaona
 
Na chadema ndyo watakuwa wameandika hivView attachment 946007
We don't need the private sector that much. Private sector in Tanzania is Bull shit!

Mashamba ya mikonge wameyaua, Rail yetu waliiua, Bandari waliiua, viwanda vyote vya nguo na vinginevyo waliviua, mashamba ya mpunga Kilosa na Mbalali waliyaua, viwanda vya kubangua korosho waliviua, shirika la ndege waliliua, TTCL ilikufa, makampuni ya ujenzi waliyaua, national Housing waliiua, meli ziwa Viktoria waliziua, shirika la maji waliliua kiasi kwamba kwenye miji mikubwa kama Dar haikuwa na maji, umeme nao ulilikuwa wa kusuasua. Kila kitu ambacho kilikuwa mali ya umma na kuwa privatized hakiku-perform vizuri.

Madini na wanyama wetu yalikuwa yanasombwa kuuawa tu bila sisi kupata kitu. What kind of Business making is that? Biashara haiendi hivyo. Biashara lazima iwaletee manufaa wananchi na sio watu wachache na wengi wao kutoka nje.

Kama nchi za wenzetu walio endelea wangekuwa wanaendesha biashara kama kwetu nchi zao zisingeweza piga hatua zilizo piga.

Hatutaki private Sectors ambazo ni walaliaji.
 
Sijui hizo takwimu umezitoa wapi mtu ambae alijaza ule uwanja mpaka watu wakashindwa kuingia ni Mr Nice
Furaha ya binadam ni indication ya maisha yenye neema duniani kwote. Taifa ambalo halina na neema watu hawana furaha. Mfano Syria, Libya na Yemen.
 
Kama hicho ndio kipimo cha hali uchumi kuwa nzuri basi kabla yake hali ilikuwaje maana kulipa kiingilio cha 10,000 na burudani mara moja kwa mwaka, vijana kama hawa kwa kweli ndio wametufikisha hapa tulipo maana wanafurahia maendeleo ambayo wanaambiwa na wanasiasa wakati yeye mwenyewe yupo palepale
Kama Lissu anadai watanzania wanakula mlo mmoja tu kwa siku kwa kukosa pesa, sasa mtanzania atapata wapi TSH 10000/- kwa ajili ya kiingilio?
 
Sijui CCM hutumia mbinu gani kupandikiza ujinga na ubwege kwenye vichwa vya watanzania wenzetu!!
kama anavyosingiziwa shetani kwa dhambi za mwanaadam ndivyo ccm inavyoshutumiwa, kuna watu unaweza hata kupoteza fahamu kwa kutafakari namna wanavyofikiri.
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Halafu tukikuita kuku unasema tunakuonea? Hv umepishana nini na bata kifikra?
 
Kama Lissu anadai watanzania wanakula mlo mmoja tu kwa siku kwa kukosa pesa, sasa mtanzania atapata wapi TSH 10000/- kwa ajili ya kiingilio?

Sijui shule yako ikoje but fanya tadhimini wanaposema Watanzania maskini wanamaanisha wa mjini tu au wa wapi
 
Tamasha kama hili lifanyike tena Mtwara mwezi March mwakani halafu urudi kuhitimisha uzi wako hapa
 
Ukiwasikia wanavyotaharuki unaweza kudhani nchi ipo kwenye Vita kumbe nchi imetulia tuli full Aman.. kila siku nawaambia Kama Wana uwezo waandamane au waitishe maandamano Kama watapata support!?
Wao wanapoona mitandaoni wakipinga pinga wanadhani mitaani pia iko hivyo. Wajaribu waone, watajiaibisha tu kama ilivyo kuwa Aprili 2018.
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Njia mpya ya kupima Economic Growth!
 
Back
Top Bottom