Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
....
....ujinga ulio tukuka standadi geji
 
Huyu mwehu tumemvua nguo fb, kumbe na huku yupo na anatumia I'd hii.
Fb watu siku hizi naona wamekua sana kuliko jf.
Jf kuna wastaarabu sana huku.
Kule kalala mutini
Jibu hoja
 
Sababu kuu za umaskini
UJINGA
MARADHI
Hapo namba moja ndio mtoa mada alipo gota..anashindwa kutambua hata matumizi mabaya ya pesa yanaweza pelekea umaskini
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Kweli Tanzania nakulilia nchi yangu. ELIMU!ELIMU!ELIMU! Uchumi inapimwa kwa kuja watu kwenye tamasha kweli?? Unategemea kijana au mzee kama huyu ataweza kuikomboa nchi yake. Unategemea huyu ndie awe mkuu wa mkoa atakachojua ni nn kama si kuweka Opposition ndani. Naona vitukuu vyetu ndio watakuja kuikomboa Tanzania
 
NA N

YIE KAMA MNAJIAMINI MSIWAANDAMANISHE POLISI WENU KUTISHIA WATU
Mkuu ni nchi gani isiyotumia vyombo vya dola hususan police kutunza amani ? Hebu angalia yanayoendelea Paris Ufaransa hivi sasa ! Jukumu la kwanza la serikali ni ulinzi wa raia wake na mali zao kwa hiyo ungependa jukumu hilo apewe nani ? Polisi jamii ? Sungusungu ?
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Tamasha mtu anasimama zaidi ya masaa 4 na hana hata kinywaji achilia mbali msosi. Kujazana huko ndio dalili ya umaskini na ni kweli haijapata kutokea watu kuwa maskini namna hii.

Nyie hata mafao ya 25% mnasema mnatetea wanyonge, mmeidandia timu ya taifa kutafuta kick sasa inapumulia mashine ila wakati wenu huu endeleeni tuu
 
Sometimes utumie akili yako . Umeandika uchafu gani hapa? Chadema na akina diamond, sijui alikiba wana uhusiano gani?

Kama ni pesa ya kiingilie mbona hata ww unayo? Ni pesa ndogo sana.
Uwage unatake time kufikiri kabla hujaandika utoto kama huu sawa bwana mdogo?
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
 
Watu Kama mleta mada ndio polisisiem inawategemea kundesha viwanda wanavyo vihubiria , kazi tunayo.
 
dah huyu naye ni msomi ndani ya CCM !
huyu kaja na kigezo cha TAMASHA katika ukuaji wa uchumi na mafanikio ya awamu ya tano..
utachekwa we Ngosha..
Pia si CHADEMA pekee wanaoelezea hali mbaya ya kudorora kwa uchumi na kuporomoka kwa shilingi na hali ya usalama, hata Wabunge wa CCM wamo akina Nape, Bashe, Zungu, Msukuma
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu
 
Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.

Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.

Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!

Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?

Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Aisee kumbe kweli ukiwa Ccm akili unakabidhi kwa mwenyekiti!
 
Kuna watu wanaishi wakiwa na mawazo yaliyokufa.
 
Nasikitika kuusoma leo Uzi huu nilikua naupita tuu nikijua ni madudu sijui nini kimenifanya nisome tena asubuhi naanza kupata vitu vya kijinga kichwani eti kujaa kwenye Tamasha la muziki ni kiashiria cha maisha Bora?
 
Kwahiyo hapo ndio mwsho wa uwezo Wako WA kufikiri... Daaah inasikitisha Sana... [emoji848]
 
Nasikitika kuusoma leo Uzi huu nilikua naupita tuu nikijua ni madudu sijui nini kimenifanya nisome tena asubuhi naanza kupata vitu vya kijinga kichwani eti kujaa kwenye Tamasha la muziki ni kiashiria cha maisha Bora?
Wasingejaa ungewahi kuhubiri hapa ,wananchi wakosa hela ya kiingilio.
 
Back
Top Bottom