This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA TAREHE 4 AUG 2024
1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣
2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa
3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin
4.Kusherehesha watu zaidi ya watano kazi ya mtu mmoja
5.Kutokuwa na mpangilio wa Matukio/ Ratiba. Tambulisha tambulisha isiyoeleweka.
6.Ratiba ya Mechi saa 2: 30 Mechi ikachezwa saa 3.30 aibu. Kupotezeana muda
7. Tukio la marehemu kukumbukwa kipindi Cha pili Cha mechi na kupewa zawadi😂😂nacheka kama mazuri
8. Konde boy kunong'onezwa muda umeisha wa kuimba na kuendelea / utaratibu mbovu na akakaidi😂
9. Kutambulisha wapenzi /kuvishana nguo,Pete. Mpaka azam wakaona aibu wakakata matangazo.
10.Kununua mechi Yako mwenyewe/Bonanza🤣🤣 Red ♦️
11.Kupewa penati na ukashangilia Bonanza lako🤣
12. Manara kutumia nguvu kubwa kuwaamisha yeye ni Yanga lialia,. Huku akijua ye Simba damu.
13. Kutokuwa na mvuto wa kutambulisha wachezaji Manara. Bora Alikamwe hakuwa na kipya ni yalwyale ya akiwa Simba.
14. Kutoonekana Kwa alikamwe ambaye ndiye boss wa Manara. Na kuonekana wakodishwaji.
15. Kugombania mic 🎤 wasanii. Marioo.😭
Nawewe orodhesha ili wabadilike siku nyingine.
Mwandishi wa hili andiko: Mzarendo Kahera