Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Acha basi 😂Una shida mahali sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi 😂Una shida mahali sio bure
Kwani mimi nna utofauti gani na wanaofunga?Wakufungaa utakuwa wew bhna 😂
Alfu...?Hello
Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari
Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi
View attachment 3254902
Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri
View attachment 3254903
Baada ya hpo nikaweka maji kama wewe una tui la nazi ile ya kukuna unaweza tumia iyo badala ya maji nikaweka na sukari na chumvi kama una irick unaweza weka mm sikuwa nay
View attachment 3254905
Baada ya hapo nianza kukaanga samaki zangu hapa uku nasubiri maji yakauke niweke nazi
View attachment 3254922
Baada ya hapo nikatoa samaki
Nikaanza kupika lost
Niliwwka kitunguu
View attachment 3257577
Baada ya hapo nikaweka samaki hoho na karot
View attachment 3257578
Baada ya kuchanganyika vizur nukaweka nyanya
View attachment 3257579
Nikaweka na nazi nika pika na catress nishawai kuleta hapa jinsi ya kuzipika
View attachment 3257581
Hujawahi kula ugali wa Kanda ya Ziwa eeh?Ugali mwezi siwez kufululiza ase 😂 labda maindi mapya
Sio lost ni rostHello
Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari
Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi
View attachment 3254902
Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri
View attachment 3254903
Baada ya hpo nikaweka maji kama wewe una tui la nazi ile ya kukuna unaweza tumia iyo badala ya maji nikaweka na sukari na chumvi kama una irick unaweza weka mm sikuwa nay
View attachment 3254905
Baada ya hapo nianza kukaanga samaki zangu hapa uku nasubiri maji yakauke niweke nazi
View attachment 3254922
Baada ya hapo nikatoa samaki
Nikaanza kupika lost
Niliwwka kitunguu
View attachment 3257577
Baada ya hapo nikaweka samaki hoho na karot
View attachment 3257578
Baada ya kuchanganyika vizur nukaweka nyanya
View attachment 3257579
Nikaweka na nazi nika pika na catress nishawai kuleta hapa jinsi ya kuzipika
View attachment 3257581
Huyo ni Santa Lucia au Mo 😜Hello

Ndio napendelea ugali wa maindi mapyaHujawahi kula ugali wa Kanda ya Ziwa eeh?
Hata hauchoshi
SantaHuyo ni Santa Lucia au Mo 😜
Hapo sawa, sio hizo tambi zenu 😜Ndio napendelea ugali wa maindi mapya
Acha uroho na urafi!Naomba samaki.