Tambo za G7 huko hiroshima zaingia doa: Bakhmut yatekwa rasmi, Wizara ya ulinzi ya Urusi yathibitisha

Tambo za G7 huko hiroshima zaingia doa: Bakhmut yatekwa rasmi, Wizara ya ulinzi ya Urusi yathibitisha

Kwa hiyo Ukraine ni USA na Russia ni Afghanistan ? Dhambi ni dhambi tu akifanya yeyote yule, uovu utabaki kuw uwovu
kaa kimyaa...
IMG_20230514_170539.jpg
Screenshot_20230429-122824.jpg
 
Kupiga picha kwenye maghofu yaliyolipuliwa ndio bakhmut imetekwa.

Subiri wadau wanawapangia bajet zaidi huko Hiroshima

Msiharakishe kwa kujipa moyo eti muonekane washindi wkt mambo ni tofauti huko battle ground.

Myachakaa tu .
ishiiii kwani hicho kikundi chenu cha vikoba kimeanza kuchangishana leo vi hela vyenu vya madafu .....au wewe ni mgeni toka hii oparesheni kata funua ianze leo ndio umeona wana changishana ..........nyie changeni ola vikija kwenye ground vitakula kiberiti ....
 
Kwa nin wale wengine badala ya kuchagiza mazungumzo ili kumaliza mzozo lkn wao wanapeleka silaha ili mzozo uendelee kuwa mkubwa
Kwan wanampa silaha apige nje ya nchi yake ? Kwann usimlaumu aliyeingia kweny nchi ya mwenzie ? Au hana akili so haez elewa sababu ya uendawazimu aliokuwa nao?
 
Back
Top Bottom