Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao

Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya Tshs. bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johanesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii.

FINE.jpg

thumbopen.php.jpg

Bora angekuwa anauza Kabang kwa milioni moja moja angepata wateja wengi sana
 
Ulimbuken maskini umemponza,yeye alidhan wat wanapenda kujishebedua kwake vile
 
  • Thanks
Reactions: kui
Duuuu balaaaaaa..................eti she got ass, she knows how to make Money

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiittttttttttt Askari Magereza Wanamkula hilo ass lake ss
 
She know to make money!! my ass...

Tena kama kuna ndugu wa huyu binti hapa aelewe wazi huyu ni marehemu by any circumstance.

Taarifa za kuaminika nilizonazo sasa hivi Serikali ya South Africa kabla hujamaliza kifungo chako cha kujihusisha na madawa ya kulevya makaburu wanakudunga sindano ya sumu uje ufie uraiani.

Wazungu wana hasira sana na wauza unga watoto zao wameharibika kupita maelezo wakati zamani kabla utawala wa weusi hawakuwa hivyo. mkumbuke tu South Africa ina Rais mweusi tu lakini nchi ni ya wazungu.
 
Umeongea kitu cha kwel kabisa watu hawajui kabisa matatizo yaliyopo Africa kusini hasa mtu mweusi anapopata tatizo kama hili la kufungwa jela tena kwa madawa ya kulevya mara .yingi watu hawa huwa wanafia jela ama uraiani shortly wanapomaliza kifungo.
Atapata mateso sana akiwa kule na mwisho wa ndoto na majigambo ni pale akihukumiwa.maana kwanza hata kisaikolojia atapoteza maana kuna vitu vya ajabu sana katika jela za kule hasa kwa waafrica tena asiye mwenyeji
 
kama njia aliokuwa anatumia ndo the way for looking
for money I think I will be poor forever!!!!!

ndio wakome wadada wa kibongo
kupenda mambo makubwa makubwa sio hao
wapo wengi tuu.muwe makini tu!!!!!!!!!!!!
 
Bora yake alikua anatafuta hela kuliko wanao gombania mabwana uwanja wa fisi. Mia
 
Bora yake alikua anatafuta hela kuliko wanao gombania mabwana uwanja wa fisi. Mia
Mkuu fuatilia uone kwanini wanagombania mabwana, ngoja aende bwana asiye na hela uone kama watamgombania, ni style nyingine ya kutafuta pesa kutafuta mkwanja sio lazima uwe punda
 
Atavuna alichopanda, wapo wengi badilikeni tamaa na anasa zinawaponza. Wenyewe mnajiita watoto wa mujiniiiii mtakula jeuri yenu. Haya changeni ss wasanii mkawatoe kwa madiba hapo!!!!!!!!!
 
------- zao, mabinti warembo kuolewa wakatulia hawataki, sasa ni ass na magereza.
 
she is going to spend the rest of life behind bars under CORRECTION DEPARTMENT. u want to get rich but you die in trying.
 
Umeongea kitu cha kwel kabisa watu hawajui kabisa matatizo yaliyopo Africa kusini hasa mtu mweusi anapopata tatizo kama hili la kufungwa jela tena kwa madawa ya kulevya mara .yingi watu hawa huwa wanafia jela ama uraiani shortly wanapomaliza kifungo.
Atapata mateso sana akiwa kule na mwisho wa ndoto na majigambo ni pale akihukumiwa.maana kwanza hata kisaikolojia atapoteza maana kuna vitu vya ajabu sana katika jela za kule hasa kwa waafrica tena asiye mwenyeji

she is going to spend the rest of life behind bars under CORRECTION DEPARTMENT. u want to get rich but you die in trying.
Kifungo cha chini kabisa hawa ni miaka 20 jela na bila kusahau ni lazima wadungwe sindano za sumu hilo wala halina mjadala siongei hapa kusherehesha, naongea kitu ninachokifahamu vyema.

South Africa kwa sababu ya demokrasia yao kuwa kubwa sana ndio maana hawajaweka hukumu ya kunyonga, lakini kiukweli wameamuwa rasmi kuwauwa kimya kimya drug smugglers wote watakaotiwa mikononi, na uzuri wa South Africa hakuna kesi ya unga ya kupakaziwa wala kuingizwa mkumbo, ukisikia ndugu yako ana kesi ya unga basi ni yeye na wamemkata on the spot, ndio maana hakuna mwenye jeuli ya kushinda kesi kama hizi.
 
Bora amekamatwa. Hawa wananiponza mie nataka kumtaliki Paw wangu manake naona wana mahela na magari kuliko mie. Ngoja nimpikie baba watoto wangu mie, leo ntamuosha na miguu kabisa. Bora wali mkavu kuliko jela.
 
Dada imekula kwake. SAUZ navyoijua!!! Kule sauzi mm nilikaa mwezi tu nikaona wabongo wanaishi maisha ya hatari sana. Mwenyewe nilirudi. Hadi leo nadiriki kusema hamna sehemu ambayo kupiga dili za pesa rahisi kama Bongo. Unajenga nyumba sehemu ya makazi ya watu then unaweka na Fremu za biashara kama kumi then serikali inakuachia. I LOVE BONGO LAND.
 
Demu mkali kiaina lakini mshamba saana.aliingia jiji kwa pupa mno miaka 5 jela.
Tatizo askari africa hawaaminiki kuna demu yule mtangazaji alidakwa Kenya na heroin kilo kibao yuko mtaani sasa anakula bata.
 
Back
Top Bottom