Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

Yah, true lakini unapopiga deal kafiri hutakiwi kuwa na makuzi; piga deal, vuta mkwanja, uki-retire ndo unaanza nyodo vinginevyo watu watukudondoshea jumba bovu tu!
Hilo nalo neno!!
 
If she sells that beautiful as* in auction she wont make as much money. Bora auze unga tu.

Huyu dada ana elimu gani kwani?
....unaweza kuta kasoma....lakini anazungukwa na cycle ya watu wajinga....
 
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

U cant justify evils let them bitches rot in jail for trying 2 get rich!
 
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nimeipenda sana hii,big up
 
Nyodo nyingi dili kafiri,,.....pole mwaya so imekua virse versa,,.....S:A swagga,,.... (TOUGHT TO GET EASY TO DIE) ,,....iwe somo kwa wengne,,....!!
 
Muuza unga msafirishaji au Mtu yoyote Yule anaejishughulisha na unga Hana tofauti na anae ua maalbino!! Ukiangalia vijana wanavoharibika kwa madawa for real Tanzania tunahaja ya kubadili Sheria zetu hawa watu wanatakiwa kunyongwa. Serikali iwe na mahakama maalumu kwa ajili ya kesi hizo! Miezi mitatu baada ya kupatikana na madawa iwe kesi imeisha na kanyongwa!!
 
uyu agness alikuwa sauz na linah(muimbaji) im pretty sure nae anahusika na hizi dili.........nae cku zake zinahesabika
 
hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao


picha aliyoipost agnes masogange katika mtandao wa instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya tshs. Bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa or tambo jijini johanesburg nchini afrika kusini mwanzoni mwa wiki hii.

fine.jpg


thumbopen.php.jpg


bora angekuwa anauza kabang kwa milioni moja moja angepata wateja wengi sana

I think irresponsible use of social media, has led to her demise. Especially when you use one or more of your real names and a really photo.
 
She know to make money!! my ass...

Tena kama kuna ndugu wa huyu binti hapa aelewe wazi huyu ni marehemu by any circumstance.

Taarifa za kuaminika nilizonazo sasa hivi Serikali ya South Africa kabla hujamaliza kifungo chako cha kujihusisha na madawa ya kulevya makaburu wanakudunga sindano ya sumu uje ufie uraiani.

Wazungu wana hasira sana na wauza unga watoto zao wameharibika kupita maelezo wakati zamani kabla utawala wa weusi hawakuwa hivyo. mkumbuke tu South Africa ina Rais mweusi tu lakini nchi ni ya wazungu.

I lost my young brother! Very true MATOLA
 
Warembo wa mjin wanatoa sn kabang na mwisho wa cku wanakosa wateja so wanaamua kujiingiza ktk madawa ya kulevywa il kupata mkwanja wa kujikim, jst lyk ha inapnekana soko limeshuka tht's y kaamua kujiengage huko
 
Back
Top Bottom