Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona nimesikia siyo yeye aliyedakwa.
 
kama njia aliokuwa anatumia ndo the way for looking
for money I think I will be poor forever!!!!!

ndio wakome wadada wa kibongo
kupenda mambo makubwa makubwa sio hao
wapo wengi tuu.muwe makini tu!!!!!!!!!!!!

Yaaaani full kuturusha roho...ma lexus...mavogue...less wig za lk 5...shopping za maaana kumbe...majangiri...mshahara unanitosha hyo ya kujishow matokeo ndo hayo
 
Clouds bado hawajamtuma Millarayo kwenda south kuripoti hili tukio?
 
Hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao

Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya Tshs. bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johanesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii.

FINE.jpg

thumbopen.php.jpg

Bora angekuwa anauza Kabang kwa milioni moja moja angepata wateja wengi sana

Hahahaaaaa... umeona eeh
 
na wangefanikiwa kupita,bosi aliewatuma angekuwa bilionea wa bilionea
 
Yaaaani full kuturusha roho...ma lexus...mavogue...less wig za lk 5...shopping za maaana kumbe...majangiri...mshahara unanitosha hyo ya kujishow matokeo ndo hayo

hizo mbwembwe zake akazionyeshee gerezani sasa!!!!

kila akipiga picha ni kuonesha makalio.
 
Yaaaani full kuturusha roho...ma lexus...mavogue...less wig za lk 5...shopping za maaana kumbe...majangiri...mshahara unanitosha hyo ya kujishow matokeo ndo hayo

yaani eti fine ass!!!!!!!

mdada ya mujini ataisoma namba mwaka huu!!!!!
 
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tatizo sio bidii ya kutafuta hiyo pesa, bali ni njia gani unatumia kuitafuta hiyo pesa.

Kutajirika kwa kuwageuza wengine mateja, au kukata mikona ya albino, au kujilimbikizia mali ya uma, sidhani kama ni bidii ya kutafuta inayohitaji kupongezwa.
 
well said FYATU!!!
 
Last edited by a moderator:
ndo mademu wa kibongo...kumeki money ni kuuza unga...------- kweli
 
Yeah_get rich...or...die trying.
Yah, true lakini unapopiga deal kafiri hutakiwi kuwa na makuzi; piga deal, vuta mkwanja, uki-retire ndo unaanza nyodo vinginevyo watu watukudondoshea jumba bovu tu!
 
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Anajua kutafuta au anajua kutumiwa? Siku nikiamua kuwa Drug Dealer ni labda mimi nitume wenzangu lakini sio mtu kunituma mimi, siwezi kuwa tayari siku jumba bovu linadondoka; nadondoka nalo mzima mzima hata jamaa hakujui!
 
Nani alikuambia kujua kutafuta pesa ni kuuza unga? Inawezekana unasukumwa na hisia zako au ukaribu uliokuwa nae, ni sawa sawa na kusikia mtu uliyenae karibu amekufa, you're still in a state of denial, crime is crime, there's no justification non whatsoever of what she was doing, they will lock her ass for a very long time, she's going to learn the hard way, pole.
 
If she sells that beautiful as* in auction she wont make as much money. Bora auze unga tu.

Huyu dada ana elimu gani kwani?
ndo mademu wa kibongo...kumeki money ni kuuza unga...------- kweli
 
Yaaaani full kuturusha roho...ma lexus...mavogue...less wig za lk 5...shopping za maaana kumbe...majangiri...mshahara unanitosha hyo ya kujishow matokeo ndo hayo

Make it rain
 
Back
Top Bottom