She know to make money!! my ass...
Tena kama kuna ndugu wa huyu binti hapa aelewe wazi huyu ni marehemu by any circumstance.
Taarifa za kuaminika nilizonazo sasa hivi Serikali ya South Africa kabla hujamaliza kifungo chako cha kujihusisha na madawa ya kulevya makaburu wanakudunga sindano ya sumu uje ufie uraiani.
Wazungu wana hasira sana na wauza unga watoto zao wameharibika kupita maelezo wakati zamani kabla utawala wa weusi hawakuwa hivyo. mkumbuke tu South Africa ina Rais mweusi tu lakini nchi ni ya wazungu.
Mkuu fuatilia uone kwanini wanagombania mabwana, ngoja aende bwana asiye na hela uone kama watamgombania, ni style nyingine ya kutafuta pesa kutafuta mkwanja sio lazima uwe pundaBora yake alikua anatafuta hela kuliko wanao gombania mabwana uwanja wa fisi. Mia
Umeongea kitu cha kwel kabisa watu hawajui kabisa matatizo yaliyopo Africa kusini hasa mtu mweusi anapopata tatizo kama hili la kufungwa jela tena kwa madawa ya kulevya mara .yingi watu hawa huwa wanafia jela ama uraiani shortly wanapomaliza kifungo.
Atapata mateso sana akiwa kule na mwisho wa ndoto na majigambo ni pale akihukumiwa.maana kwanza hata kisaikolojia atapoteza maana kuna vitu vya ajabu sana katika jela za kule hasa kwa waafrica tena asiye mwenyeji
Kifungo cha chini kabisa hawa ni miaka 20 jela na bila kusahau ni lazima wadungwe sindano za sumu hilo wala halina mjadala siongei hapa kusherehesha, naongea kitu ninachokifahamu vyema.she is going to spend the rest of life behind bars under CORRECTION DEPARTMENT. u want to get rich but you die in trying.