Hilo nalo neno!!Yah, true lakini unapopiga deal kafiri hutakiwi kuwa na makuzi; piga deal, vuta mkwanja, uki-retire ndo unaanza nyodo vinginevyo watu watukudondoshea jumba bovu tu!
....unaweza kuta kasoma....lakini anazungukwa na cycle ya watu wajinga....If she sells that beautiful as* in auction she wont make as much money. Bora auze unga tu.
Huyu dada ana elimu gani kwani?
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
I have fallen in love with her,anajua kutafuta fedha iliyompata ni bahati mbaya tu(get rich or die tryin),kuna mnaomsema vibaya wakati dada zenu wanagawa tu tigo kabang kwa mateja na vibaka wa mtaani kwenu!!No bodys perfect
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao
picha aliyoipost agnes masogange katika mtandao wa instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya kulevya yenye thamani ya tshs. Bilioni 7 katika uwanja wa ndege wa or tambo jijini johanesburg nchini afrika kusini mwanzoni mwa wiki hii.
bora angekuwa anauza kabang kwa milioni moja moja angepata wateja wengi sana
She know to make money!! my ass...
Tena kama kuna ndugu wa huyu binti hapa aelewe wazi huyu ni marehemu by any circumstance.
Taarifa za kuaminika nilizonazo sasa hivi Serikali ya South Africa kabla hujamaliza kifungo chako cha kujihusisha na madawa ya kulevya makaburu wanakudunga sindano ya sumu uje ufie uraiani.
Wazungu wana hasira sana na wauza unga watoto zao wameharibika kupita maelezo wakati zamani kabla utawala wa weusi hawakuwa hivyo. mkumbuke tu South Africa ina Rais mweusi tu lakini nchi ni ya wazungu.