Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Kujiamini katika unachokifanya.
Kujiamini katika ukisemacho.
Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani.
Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na mwanamke anapoteana. Sababu kubwa ni kumkweza mwanamke juu yako.
Unaweza kuwa na maneno/ mistari mizuri. Lakini kama ukiisema kwa woga utonekana muongo.
Ukijiamini mwanamke naye ataamini katika unachokiamini. Atajiachia kwako kirahisi. Atakukubali kirahisi.
Ndo mana kuna wanaume wanakuambia skuizi hautongozi.
Wao ni kwamba wanajiamini. Wanaamini wanaweza kumpata huyo mwanamke. Na wanajua haitaji maneno mengi ili awe naye.
Ukijiamini utapata vitu hadi usivyotarajia.
Kama kuna mwanamke unahisi ni viwango vya juu huwezi mpata, anza kwa kujiamini wewe kabla ya kumfata.
Ukijiamini utamuona yupo chini yako. Na itakua rahisi kumtongoza.
Kuliko ukiwa unamuona ni malaika.
Ukijiamini unapata penzi popote.
Sababu mwanamke anajiachia kwako. Anaamini kila kitu kipo sawa akiwa nawe.
Ugomvi/ malumbano huisha ukijiamini na kumwadabisha mwanamke wako.
Kumwadabisha sio lazima iwe kumpiga.
Unaweza ukamrudisha kwao na ukamwambia akijirekebisha ndo akutafute.
Au mwingine kama ni mwelewa unaweza mkanya na akajirudi.
Mara nyingi chanzo cha ugomvi ni mwanamke kutaka kuwa juu. Au anajiona yupo juu. Kwaiyo inakua ngumu kwake kujishusha na kukufuata.
Ukimuadhibu atairudia nafasi yake haraka ili asiharibu mahusiano.
Lakini ukimuadhibu alafu ukaanza kumuomba msamaha tena kisa amelia au amesusa ujue umeonesha udhaifu. Huko ni kutojiamini.
Pia ukijiamini ni rahisi kuvunja mahusiano mabaya.
Mahusiano ambayo hujayapenda. Au mwanamke haoneshi kukutaka. Au yoyote ambayo hayakusaidii kusonga kimaisha.
Sababu unaweza kuishi bila mwanamke.
Na unajiamini unaweza kumpata mwanamke mwingine.