Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

Ibada za kishetani period. Hta huyo mungu wao kumwita Shiva the destroyer ni shetani mwenyewe.
 
Safi sana kwa tamaduni zao hizo.
NB: Hakuna tamaduni mbaya tamaduni zote ni nzuri
Nalog off
 
Ibada za kishetani period. Hta huyo mungu wao kumwita Shiva the destroyer ni shetani mwenyewe.

Sijakuelewa vizuri mkuu.... Shiva the destroyer ni shetani mwenyewe??!! Umetumia kigezo kipi kusema hivi??!!
 
Safi sana kwa tamaduni zao hizo.
NB: Hakuna tamaduni mbaya tamaduni zote ni nzuri
Nalog off

Asante sana Mkuu kwa kutupatia neno la msingi.... Hakuna tamaduni mbaya tamaduni zote ni nzuri [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Shetani katika uovu wake. Maombi yetu ni hiyo jamii imjue Mungu wa kweli waondoke kwenye huo utumwa wa kumwabudu shetani.
 
Lakini pia kwa kufanya hivi wanaamini huwafanya wawe karibu zaidi na mungu wao Shiva, na wanaweza kupata ulinzi na kinga katika magonjwa mbalimbali.
Huko corona imefika ama bado?
 
Kuhani wa aghori anakula mizoga, na anakula nyama za watu waliokufa, wanakula paka, mbwa waliooza
 
Shetani katika uovu wake. Maombi yetu ni hiyo jamii imjue Mungu wa kweli waondoke kwenye huo utumwa wa kumwabudu shetani.
Sijaelewa hoja yako Mkuu [emoji3064] kwamba wanachokifanya no tofauti na watu wa Mungu [emoji87]
 
Back
Top Bottom