Tambua Siri za mafanikio ya biashara za Wahindi

Tambua Siri za mafanikio ya biashara za Wahindi

Joined
Oct 21, 2020
Posts
59
Reaction score
80
For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region will probably tumble.

The same case can also be said in countries like South Africa, Ghana, Ivory Coast, Nigeria. Everywhere there Indians they must be among the most successful groups in the country. Indian immigrants in the United States and other wealthy countries are successful in entrepreneurship.

Indian entrepreneurs have average business income that is substantially higher than the national average and is higher than any other immigrant group. In this video, we analyze the main reasons to why Indians succeed everywhere they go.

 
Mkuu ebu chambua kwanza sio kila mtu anaweza kuingia youtube.

Nachojua wahindi ni wachawi balaa kwenye biashara.
Ni watu wanaojituma, waaminifu, wanashirikiana sana popote waendapo, Ni watu wenye mipango ya muda mrefu, Wapo teyari kujifunza tamaduni za wengine ili kuweza kuishi vizuri na watu wanaoishi katika eneo lao biashara.
 
Huku sisi tunabaki kuendeleza Uchagga na Usukuma
 
Ni watu wanaojituma, waaminifu, wanashirikiana sana popote waendapo, Ni watu wenye mipango ya muda mrefu, Wapo teyari kujifunza tamaduni za wengine ili kuweza kuishi vizuri na watu wanaoishi katika eneo lao biashara.
Ongezea na mitaji wanayo. Ukishakuwa na haya huhitaji uchawi ili utoboe, unahitaji tu nia na akili. Sisi wabongo vitu vingi ulivyotaja hatuna na hivyo tunakimbilia uchawi ili uzibe tulipopungua, mwisho wa sku hamna kitu.
 
Sijui wabongo tunakwama wapi kwenye uaminifu
Wabongo tatizo kukosa kujua kama kitu cha wizi hakisaidii chochote kinakuangamiza, an hiyo "uminifu" maana yake "Imani" wadosi wana malengo ya muda mrefu sio sisi, ukishiba leo basi.
 
Back
Top Bottom