Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kila leo mimi huamini mitaji yao ndio mafanikio yao kila wanapoenda haijalishi ni biashara gani wanafanya ila Mitaji yao ndio msingi wa mafanikio yao,ijapokuwa katika jamii za binaadam hawakosekani watu wasio waaminifu.