Tambua Utapeli Mbalimbali Mtandaoni - Sitapeliki

Chukua hii principle itakusaidia kwenye Maisha, haijarishi mchongo unapewa na Mzungu, Mchina, Trump ama Mama Samia....!

Jua tu katika Dunia hii HAKUNA PESA ZA BURE!
Ishi na Hilo, hutapata shida kuja kuonekana wewe ni Zuzu hapa Jf
 
Asante kwa kushirikisha picha hizi. Hii ni scam au utapeli unaotumia jina la "UN Foundation" kuwalaghai watu watume fedha kwa ahadi ya kupata "michango" au "zawadi."

Dalili za wazi kwamba huu ni utapeli:

1. Matumizi ya emoji nyingi kupita kiasi – Shirika halisi la Umoja wa Mataifa halitumiagi lugha isiyo rasmi na ya kibiashara kama hii.


2. Ada ya kupata pesa – Shirika lolote halali halitakutaka utume pesa ili upate msaada au ufadhili.


3. Hakuna uthibitisho rasmi – Hakuna barua rasmi, hakuna tovuti, hakuna mchakato wa maombi halisi.


4. Nambari ya simu ya kawaida – Mashirika kama UN hutumia barua pepe za kikazi au mawasiliano rasmi, si WhatsApp kutoka kwa nambari isiyojulikana.




---

Ushauri:

✅ Usitume fedha yoyote.
✅ Wapuuze kabisa.
✅ Ripoti kwa Mamlaka za Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia:
📱 Tuma ujumbe kwa neno “TAPELI” kwa namba 15040 au tembelea tovuti ya TCRA.
✅ Unaweza pia kuripoti kwenye WhatsApp moja kwa moja kama "spam" au "report contact."
 
Hiyo AI anakuonea wivu, tuma pesa upate, yani jaza ujazwe......
 
Ww akili yako ipo slow Sana, Wala hapakuwa na haja ya kwenda kote huko.

Ww tuma tuu hy pesa uwe tajiri
 
Ww akili yako ipo slow Sana, Wala hapakuwa na haja ya kwenda kote huko.

Ww tuma tuu hy pesa uwe tajiri
:
"Umeamua kupima akili yangu kwa maneno yako? Basi jua akili ya kweli haipimwi kwa kasi ya kujibu bali kwa kina cha hoja."
 
Asante kwa taarifa, ubarikiwe ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…