Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

ayaaaaaaaa! wewe
 
wakati muhafak a kwa mwanaume ni anapopata mafanikio..tusidanganyane hapa hata Simba akikosa nyama hula majani.
Hivi mwanaume huna kazi hata hamu ya tendo inatoka wapi!!! Achilia mbali kuoa. Huu utakuwa ni uzembe wa hali ya juu. Watafute kwanza ndio waoe.
 
Wanaume hamna maana mtu anakukubalia ukiwa na hali ngumu lakini pindi mkahangaika wote mkapata, mnaanzaga kutafuta anaejua matumizi. Yule wa shida anawekwa pemben kwanza fedha zinatumika na yule aliekuta zipo tayari. Sasa ya nini kuvumilia tabu za m'ume, aiseee ajipange tu kwanza. Na mwanaume usipokuwa vizur una asilimia 80% ya kuchapiwa...
 
Ntakuvumilia wakati wa shida ....tutasota hatimae utafanikiwa.....ukifanikiwa unaanza kuniona mi si lolote si chochote ...unaanza kuniona nimefanana na mbuzi unaanza kuhangaika na wanawake wengine ....my dear brother pambana usake mahela tukutane juu kwa juu hakuna MTU anapenda stress za baadae
 
Kiukweli mwanamke anaekupenda na kukuthamini ukiwa huna kitu hasa ktk hii hali ya vyuma kukaza nindio chaguo bora tatizo linakuja wewe unamuona kimuonekano hakuvutii sasa hapo ndo unapofeli.
Hapo umesema kweli,huwezi kua na mtu kwa sababu tu kakukubali ukiwa huna kitu na kiuhalisia humpendi unakuta unachoice nyingine kabisa
 
Wapo lakini wengi wao ni polygon kwa hali ya sasa watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji na ukizifuma yule aliyekuvumilia utamuona km Mzee na jinsi mlivyo wanaume ukiwa vizuri kiuchumi basi hata kula utataka ule vilivyonona ni hayo tu
Wewe hupendi vilivyonona? Anyway sikupanga kuchangia wewe umenifanya kuchangai kipindi nikiwa sina kitu kuna wadada walionivutia Sana kila mmoja Kwa kipindi chake nilifanikiwa kuwa nao wakinisapoti Kwa kila kitu lakini ghafla nilipoa anza kupata neema ya kuwa na vijisenti mfukoni wakinipiga chini wote nakila kinipiga nao story nikijalibu kuwauliza ni kitu gani kulichofanya mpaka wakanipotezea hawana majibu nikauliza ushawai kuniona na mwanamke mwingine, au kuna baya lolote nililokufanyia,nimekuzarau,nimshindwa kukutimizia kitu ulichotaka,nimepunguza muda wakuonana na wewe au kuna baya lolote nimekufayia jibu ni hapana kiukweli nimeahindwa kujua nini wanawake mnataka.
 
Kiukweli mwanamke anaekupenda na kukuthamini ukiwa huna kitu hasa ktk hii hali ya vyuma kukaza nindio chaguo bora tatizo linakuja wewe unamuona kimuonekano hakuvutii sasa hapo ndo unapofeli.
Wakati mkipat mnawasahau wale mlioanz nao shidani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Tumestuka, tukiwapenda mkiwa hamna kitu mkipata mnatudharau na kwenda kutafuta mnaoona wanawafaa. Hivyo basi mtafute kwanza mkizipata ndio muoe. Adamu alikuwa na kila kitu ndio Eva akafuata.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…