Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Walikujua bila wewe kujijuaWewe hupendi vilivyonona? Anyway sikupanga kuchangia wewe umenifanya kuchangai kipindi nikiwa sina kitu kuna wadada walionivutia Sana kila mmoja Kwa kipindi chake nilifanikiwa kuwa nao wakinisapoti Kwa kila kitu lakini ghafla nilipoa anza kupata neema ya kuwa na vijisenti mfukoni wakinipiga chini wote nakila kinipiga nao story nikijalibu kuwauliza ni kitu gani kulichofanya mpaka wakanipotezea hawana majibu nikauliza ushawai kuniona na mwanamke mwingine, au kuna baya lolote nililokufanyia,nimekuzarau,nimshindwa kukutimizia kitu ulichotaka,nimepunguza muda wakuonana na wewe au kuna baya lolote nimekufayia jibu ni hapana kiukweli nimeahindwa kujua nini wanawake mnataka.