Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Tatizo sisi wanaume tukimpata mwanamke anaetukubali kipindi hatuna kitu, tukifanikiwa huwa hatuwathamini tena, tunatafuta wengine tofauti na hawa tuliokua nao
Out of topic mkuu..chek pm yko
 
Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.

Sio wote mama
 
Hahaha....hivi kumbe kuna wanaume wanafanyiwa yote hayo....
 
Ntakuvumilia wakati wa shida ....tutasota hatimae utafanikiwa.....ukifanikiwa unaanza kuniona mi si lolote si chochote ...unaanza kuniona nimefanana na mbuzi unaanza kuhangaika na wanawake wengine ....my dear brother pambana usake mahela tukutane juu kwa juu hakuna MTU anapenda stress za baadae
Hili mimi nalipinga wanaume tumekuwa tunawakumbuka sana wanawake tuliosota nao ukitaka uthibitisho zaidi fatilia wake wengi wa wanaume waliofanikiwa ni wakawida na wabaya ndo mama wa nyumba
lakini hilo la kusema tukishafanikiwa tunakuwa na michepuko
kwani hao uliowakuta wanamafanikio hawana michepuko
 
Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
Naunga mkono hoja yako
 
Pole sana! Mimi kuna mwanadada alinifanyia hayo yote kama ulivyoeleza yaani kopirait, ila mwaka juzi, nikashangaa ameanza kubadilika zile baby baby na meseji za mahaba hana tena. Nikambananisha kwa maswali baadaye akanieleza ukweli, kwamba familia yake imemchagulia mchumba, kiukweli niliumia sana na kukata tamaa maana nilimpenda sana. Nikamwambia haina shida! Nikafuta namba na kufuta urafiki mitandaoni ili nisimuone. Mwaka huu kanitafuta fb, ananiambia mbona kimya? Nikamwambia wewe si uliniacha sasa vipi ulitaka nifanyeje? Akaniambia amemaliza chuo mwaka jana na ajira kakosa, sasa ameanzisha project ya uhamasishaji so anaomba mchango kama elfu 50 halafu tushirikiane. Nikamuuliza vipi umeshaolewa na yule mchumba, akadai waliachana maana kalazimishiwa, so kwa sasa hataki mapenz tena bali kazi, nikamwambia mimi ninaona tusiwasilane tena maana uliniumiza sana, kaa mbali tu na mimi.
Duh! Pole sana ila huyo manzi hana msimamo, utakubalije kumuacha uliyempenda na kuhangaika nae kutengeneza future yenu kwa ajili ya mchumba uliyetafutiwa na familia?? Nahisi alipatwa na tamaa tu ndo maana kakuacha
 
Ntakuvumilia wakati wa shida ....tutasota hatimae utafanikiwa.....ukifanikiwa unaanza kuniona mi si lolote si chochote ...unaanza kuniona nimefanana na mbuzi unaanza kuhangaika na wanawake wengine ....my dear brother pambana usake mahela tukutane juu kwa juu hakuna MTU anapenda stress za baadae
Uko juu kwa juu nitakuwa nshakutana na wengine. ..[emoji1] [emoji12] [emoji12]
 
Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
tatizo lenu hamjipendi mkishazaa tuu mnajiachia kila mnanuka maziwa,mikojo ya watoto nk, alafu mnapunguza mapenzi kwetu mnahamishia Kwa mtoto na sisi inakuwa ni wakati wetu kutafuta faraja.jipendeni bhanaa tupenda wanawake wasafi acheni mambo ya kisengerema basi.
 
Daaah mada nimeipenda ila mie nilikutana na m'mke niliye ishi nae kwa kitambo kiasi, nikampeleka baada ya kupata vihela but alivyo badilika ikawa ni shida, pesa yangu haikuwa na thamani eti maana ni ndogo total aliwapenda wenye nyingi.So, sio eti ukiwa kapuku ndo utakutana na mtu sahihi lahashaaa......hii mambo zaidi ni kumuomba Mungu
 
Back
Top Bottom