Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

.......pia mimi nadhani NJAA NI MBAYA SANA,INAUZA UHURU WA TAMBWE HIZZA

G,

Njaa na choo ni vitu hatari sana na havina adabu. Usipokuwa mwangalifu vinaweza kukuvunjia heshima mbele za watu. Ila njaa ukiiendekeza inakuwa hatari kuliko scud kwa sababu hata mwanamume anaweza kuolewa ili mradi apate mulo.

Jamaa yuko kazini na kwa hiyo sioni kama kuna sababu ya kupoteza muda wetu. Tumwache yeye na wenzake (Makamba na Babu Fisadi Kingunge) wafukuze moshi. Sisi tuendelee kushughulika na moto!
 
Mwanakijiji, Hana haja ya kujibu. Tambwe sio size yake. Akatafute mengine ya kusema.

Nakubaliana na maneno ya Chakaza. Mwanakijiji hana haja ya kumjibu Tambwe. Huyu jamaa amenunuliwa na CCM kwa hajili ya kuchafua watu wa vyama vya upinzani, huyu jamaa anamdomo mchafu mpaka kwa dada zetu na pia ni Kihiyo.
 


Keep it up!!! Keep it up Linyunyu "Kisu kikali". Kata mkuu siogope. Sasa hivi anajipendekeza anajua 2010 is around the corner. Ni mnafiki mkubwa sana huyo. Tena asicheze tukamlipua na akatemwa na hiyo CCM tena kijumla kabisa. Tambwe kama unanisikia wewe ni kibaraka mkubwa sana wa CCM kwa vyama vya upinzani na pia siri za namna CCM mnavyojidai kuwa mnashughulikia mafisadi kumbe ni viini macho Tambwe wenu anahongwa bia anatoa hadharani. Yaani jamaa ni njaa ile mbaya, nafikiri hata buku anapokea tu. Usione kitambi hilo limejaa minyama na bia tu. Unataka nitaje hata vijiwe vyako wewe fisadi wa Chama???

Kwa taarifa Mwanakijiji hagusiki. Ni mzalendo anaipenda nchi yake ndiyo maana anasema hadharani na haogopi. Kwani kuna uongo gani ndani ya makala za Mwanakijiji??? Vyote ni ukweli mtupu na sisi tunaoelewa tunamuunga mkono. Na bado ataendelea kuwalipua kama ule mgodi wa Dhahabu Buhemba mliokuwa unatumia kama kitega uchumi cha Chama kuibia serikali pesa. Au umetumwa kujibu mapigo ya Meremeta??? Evidence zipo na presha ziendelee kuwaua kwa kutafuta mchawi mtoa siri!!!! Mbona sijawaona mmetoka public kukataa allegations za Meremeta Revealed!!!! Njooni basi tuwaone, msitumie mlango wa nyuma kurudisha mapigo. Tumieni mlango wa mbele na evidence pia.

Vipi mbona hujatumia TV ya walio wengi, eti TV mlimani!!! Ungeshusha kwenye TV kama ITV, TBC1...etc. Na nyie wasomi wa Chuo Kikuu mnajidai ni CCM wakati hata maslahi yenu ni duni??? Mnakubali kihiyo aliyefoji vyeti ili apate ubunge Temeke??? Are you that low guys?? Au na nyie ni njaa tu mnataka hela??? Semeni kama nyie ni TV ya Chama, kwani kuna ubaya gani tukiwafahamu??? Msituaibishe!! Ha ha ha 2010 vibaraka watajipendekeza wengi. Tutayaona mengi ya kisanii!!!



Long live Mzee Mwanakijiji, long live JF.
 
Vipi mbona hujatumia TV ya walio wengi, eti TV mlimani!!! Ungeshusha kwenye TV kama ITV, TBC1...etc..

Ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kitu fulani hapa,lakini uzuri wa maane ameshaki-suspect.hebu angalia nukuu ifuatayo:

Na nyie wasomi wa Chuo Kikuu mnajidai ni CCM wakati hata maslahi yenu ni duni???... .
si mnaona wakuu?hili ni swala ambalo wenye uchungu na nchi hawawezi kukosa kulihisi.
maane hajaishia hapo,angalia alipoua sasa........

...Semeni kama nyie ni TV ya Chama, kwani kuna ubaya gani tukiwafahamu??? Msituaibishe!! Ha ha ha 2010 vibaraka watajipendekeza wengi. Tutayaona mengi ya kisanii!!!
sasa hili nililobold ndilo kubwa na la msingi kwa MA-AKADEMISHIANI WETU
 

The VC of UDSM is Prof R. Mkandala who before his appointment was the boss of REDET! I bet the connection has not gone off!
 

Gademu! Sasa Zakumi unataka kumkurupusha Companero na wajamaa wenzake.

But seriously Zakumi, hivi unadhani natania? Haya majamaa yenye matumbo ndio yanapendwa sana na mademu wengi wa kibongo kwa sababu ya njaa tu. Njaa kitu kibaya sana. Yaani eti demu analiona jitu kama Komba kuwa sexy!! LMAO......mwenye picha ya Komba aiweke hapa tafadhali....
 
That was a vey good feedback to JF and Mwanakijiji. Kwamba huwa meseji zinawafikia. BIG UP to the GREAT THINKERS.
 
Yaani eti demu analiona jitu kama Komba kuwa sexy!! LMAO......mwenye picha ya Komba aiweke hapa tafadhali....
HAHAHAHAH!kwani NN unadhani dada zetu hapa bongo zinawatosha?wenzio wanaona zile hela ndo ziko SEXY,
mkuu unaweza ukapiga shoulder yako ukaenea,ukapiga pull-over yako ukakata tumbo frresh,ukawa na nguvu za ''kumride'' hadi anapiga vigelegele,lakini lenye kitambi hilo linakuja kukuchukulia dem wako hivihivi
 

Aisee nikija kupoteza demu wangu kwa jitu nene kama Komba basi ninaweza nikajitia kitanzi aisee..haki ya nani tena...Lol
 
du!! leo nimecheka sijawahi JF inafurahisha inabidi niende benki nikalipie
 

Wasomi wa nchi hii hasa hawa MaProf. na Mdr. wengi wao ndio wasaliti wao wenyewe, wananchi na nchi kwa ujumla. Utakuta msomi mzima naye anatumia rushwa kutafuta ubunge na hiyo haitoshi anakwenda kwa watu wa chama waalio kwenye ngazi za kupitisha majina nako anakata pesa na kulobi just kuwa candidate wa CCM
 
Duh,

Kahitimisha vibaya!

"Mwanakijiji anatumia kijigazeti chake kuchafua amani ya Tanzania"

Hizi ndiyo zao siku zote. Wakiona wameshindwa kwa hoja basi wanaingiza hili la kutishia amani ya Tanzania au linahusu 'usalama wa Taifa', wao ufisadi wanaoufanya katika kila kona ya nchi yetu na kuendelea kuwakumbatia mafisadi hawaoni kama unatishia usalama wa Taifa! ama kweli nyani haoni......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…