Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

NN Usinilaumu.........LMFAO......
 
Attachments

  • Komba wabunge.jpg
    15.5 KB · Views: 172
ha ha ha, inanikumbusha avatar ya Njabu.... lol

Njabu aliweka avatar gani? Ile ya Nyama Hatari? BTW, unajua jamaa yupo humu? Jana nilimtoa kamasi kule kwenye Jukwaa la kimataifa...nenda kwenye thread ya Detroit hit by hunger uone...
 
Njabu aliweka avatar gani? Ile ya Nyama Hatari? BTW, unajua jamaa yupo humu? Jana nilimtoa kamasi kule kwenye Jukwaa la kimataifa...nenda kwenye thread ya Detroit hit by hunger uone...

kuna moja ili feature huyo jamaa chibonge hapo juu, sikumbuki ni katika nick gani maana ziko kana 1001
 
Wow wow wow.....huyu ni Komba?

bwa ha ha ha ha ha pepeta pepeta tehe tehe tehe hujakosea mashori wanawapenda sana kwa sababu
-ni wahongaji wazuri
-hawana game ya kuchosha.....1 tu lishaanza kukoroma

Wow wow wow.....huyu ni Komba?

Komba: Idd Amini alikiona kijinga cha moto
Wengine: Kilicho mtoa nyoka pangoni mwake (wanrudia)

Komba: Nyoka Pangoni mwake, Nyoka Pangoni mwake
Wengine: Kilichomtoa nyoka pangoni mwake

1980's alikuwa na mwili wa kukimbia mbio mita mia, akiwa anaimbia kikosi cha JWTZ alikuwa mzalendo hasa. Nina wasi wasi haya mabeti
yatageuzwa mwakani tu, yatakuwa.

washindi: CCM walikiona cha mtema kuni
Waitikiaji: walipopuuza sauti ya wenye nchi

Ngoja tusubiri na Tambwe wao huyu.
 
You know wat is funny?...this topic has turnout to be a criticism of the person instead of what he said. Whether he's fat, skinny, charismatic, etc is not important. Mmeng'ang'ania personal attacks more than substance attacks. Which actually makes u all look like ******. Discuss the message not the person.
 
Kwani wewe hujui lugha ya body bwana? pia person kwa apearansi is the big message.
 
bwa ha ha ha ha ha pepeta pepeta tehe tehe tehe hujakosea mashori wanawapenda sana kwa sababu
-ni wahongaji wazuri
-hawana game ya kuchosha.....1 tu lishaanza kukoroma

Jamani jitu linatisha. Hivi akina mama na dada wanampendea nini?? Au ni kama ulivyosema tandiko lake halichoshi ma mshiko bomba!!!! Ha ha ndiyo maana mashuga dady wanapanda chati maana vijana mpaka akulaze hospital!!! Kazi kweli kweli.

Tambwe naye umemcheck, tumbo wanashindana na Komba!!!
 
Kwani wewe hujui lugha ya body bwana? pia person kwa apearansi is the big message.

body language ina matter wakati unaongea, kwa kusudi la ku-attract attention. jinsi unavyo ji-representation (mavazi na mwili kwa ujumla - fat, thin, light skinned, nk) ni added good kama unajiuza...lol! Yani kama unatafuta kufanya kampeni kama ya urais, nk. Kama umeshaingia vyuoni, mara nyingi unakuta ma-professa hawako makini katika presentation. Maana kumbuka wao hawajiuzi, bali ni watu wanaokubalika tayari.
 
kunenepa kupita kiasi ni asili ya uzembe,kwa hiyo hata kufikiri kutenda kutakuwa ni kwa kiuzembe zembe tu.

Wewe hukusikia mama alipelekwa jela kwa sababu mwanae alinenepa kupita kiasi?
 
.

Muosha uoshwa.

Mwana kijiji amekuwa akiwashambulia sana wana jf kwa majina tofauti humu ndani.

wacha na yeye achafuliwe.
Tambwe Hiza nae amekuwa akimwandama sana Mwanakijiji kwa majina tofauti....like Samwel!
 
kunenepa kupita kiasi ni asili ya uzembe,kwa hiyo hata kufikiri kutenda kutakuwa ni kwa kiuzembe zembe tu.

Wewe hukusikia mama alipelekwa jela kwa sababu mwanae alinenepa kupita kiasi?

hahaha...kwa hiyo unasema Rais wako alikuwa mzembe?...lol
 
huwezi amini nimecheka sana tena sana yaani kwa ajili ya unene haina akili ya kutunga mabeti tena
 
Tukirudi kwenye mada. Inaonyesha Mwanakijiji alianza kushambuliwa zamani. Hiki ni kipande nilichokipata online. http://tech.groups.yahoo.com/group/techtz/message/499?l=1

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…