KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Binafsi sinaga uvumilivu kwenye mambo ya maisha yangu nifanye kazi bure miezi minne bila malipo ?? Kisa naogopa kupoteza kazi na kujipa moyo mambo mazuri yana kuja

[emoji28][emoji28]dadeki au ata mikataba hamna maana iyo ni Breach of contract tayari
 
WB sizani kama wana weza kufanya ujinga kama huo wa kuchelewesha pesa.hao ni Tamisemi wame zilamba na report Wb ina onesha mambo yako vzuri[emoji28][emoji28]
 
N
Binafsi sinaga uvumilivu kwenye mambo ya maisha yangu nifanye kazi bure miezi minne bila malipo ?? Kisa naogopa kupoteza kazi na kujipa moyo mambo mazuri yana kuja

[emoji28][emoji28]dadeki au ata mikataba hamna maana iyo ni Breach of contract tayari
Nimemshauri aachane na huo ufara afanye mambo mengine..... Hizo ajira za mkataba kwa watu wa afya zilikuwa zimetoka kwa sababu ya pesa za wafadhiri....... Wafadhiri walitoa fungu kufadhiri ajira hizo ila kwa sababu nchi inaongozwa na wezi na warafi wameamua kujikopesha ili wafanyie mambo yao...... Laaanatullah
 
Duuh kuna watu hawana huruma kabsa hata hawafikirii maisha ya hao wafanyakazi
 
N

Nimemshauri aachane na huo ufara afanye mambo mengine..... Hizo ajira za mkataba kwa watu wa afya zilikuwa zimetoka kwa sababu ya pesa za wafadhiri....... Wafadhiri walitoa fungu kufadhiri ajira hizo ila kwa sababu nchi inaongozwa na wezi na warafi wameamua kujikopesha ili wafanyie mambo yao...... Laaanatullah
Haah na kwanini wameita kazini na wanajua hawana hela.
 
Binafsi sinaga uvumilivu kwenye mambo ya maisha yangu nifanye kazi bure miezi minne bila malipo ?? Kisa naogopa kupoteza kazi na kujipa moyo mambo mazuri yana kuja

[emoji28][emoji28]dadeki au ata mikataba hamna maana iyo ni Breach of contract tayari
Unatakiwa ujue ukitoka unaenda wapi ?
 
Tanzania maternal and child health program iko chini ya Tamisemi kwa ufadhili wa WB.

Watumishi zaidi ya 270 hawana mishahara yapata miezi minne sasa na wapo maeneo ya kazi.
Wizara ya afya inahitaji special audit kwenye grants au misaada inayotoka kwenye mashirika, kila mwaka wao wanapokea tu ila matumizi yake hayaonekani
 
Sijaelewa yaan nimerudia kusoma tena na tena na tena sijaelewa kwa hio wa kuwalipa Mshahara ni nani yaan nani kawaajiri?

Alafu kisheria malalamiko ya maslahi na malipo ya Mshahara yanatakiwa yapelekwe tume ya wafanyakazi ndani ya Siku 30 baada ya mgogoro wa malipo kutokea sasa tangu Mwezi wa 2 mpaka leo unafanya kazi hulipwi alafu unakenua na kupanua tu ili iweje?
 
Back
Top Bottom