DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
9,626
Reaction score
6,731
TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu.

Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye hii Halmashauri, kila ninayeambiwa nimfuate ananipiga chenga na kunipa majibu ya kijinga yasiyo na kichwa wala miguu.

Ninawadai hela (Halmashauri) lakini mpaka leo hawataki kunilipa na si mimi tu, tuko wengi, tatizo ni nini?

Je ni kweli Mkurugenzi hajuwi kinachoendelea hapa?

Tunaomba ushirikiano wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom