Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
Tembea uone mkuu, Tanzania inawilaya zenye ukilitimba mwanzo mwisho.Ilikua ni tanzania hapa au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembea uone mkuu, Tanzania inawilaya zenye ukilitimba mwanzo mwisho.Ilikua ni tanzania hapa au?
Kuna aliyedai salary arrear akalipwa kweli??Basi una mshahara wa December na wasipokulipa maana yake utawadai haina shida.
Possibly kilichosababisha pesa za kujikimu zichelewe basi ni hilo swala la uhakiki kutoka necta, kuweni na subra.
Ilikuwa mwaka gani mkuu?Bila kukomaa hiyo hela ya kujikimu hamtaipata na mbaya zaidi mmeingia shule zimefungwa mitihani mmeshasahihisha na kupanga matokeo sasa hakuna effect kwa idara ya elimu hata mkigoma.
Mimi nakumbuka tulipata post wakati masomo yanaendelea na kukuta hali ni mbaya hakuna waalim wa sayansi. Yaaan tukakinukusha tulipewa hela fasta za kujikimu halmashauri yetu ila mshahara ulichelewa mwezi mmoja.
Ila tulisain 716,000 mshahara wa degree ila awamu hiibwa degree wamesaini 756,000.
Sijaelewa hapo inakuwaje mbona magepu hayaaa
Wapi wamelipwa mkuu?Sidhani kama kuna uhakiki wa NECTA kama upo mbona wengine wameshalipwa posho yao ya kujikimu?
Wengi hawajalipwa..hata mshahara bado na wiki ile inayokuja ni shule zinafunguliwaWapi wamelipwa mkuu?
LKN mdogo wangu, Umeweza kuishi Mtaani bila Ajira tangu 2016 au 2017 unaona shida gani kuvumilia Desemba ipite ili Januari ufurahie Maisha mpaka utakapotimiza miaka 60. Tuache kulalamika kila Wakati mnachafua Taswirra nzuri ya Kada ya Ualimu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ajira nimekosa alafu nakutana na thread kama hii KMMK
Mkuu uko vizuri sana kwa ushauri na ufariji. Hongera kwa huo moyoBasi una mshahara wa December na wasipokulipa maana yake utawadai haina shida.
Possibly kilichosababisha pesa za kujikimu zichelewe basi ni hilo swala la uhakiki kutoka necta, kuweni na subra.
Sure. Nimeona hiyo 750k kwa walioanza kulipwa Januari hiiHapa kuna sintofaham...wengine wamesain 750000.
Hela ya kujikim hua inatoka ngap
Wengine miezi miwili yote hawajalipwa.Sure. Nimeona hiyo 750k kwa walioanza kulipwa Januari hii