TAMISEMI: Hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..

Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.

Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.

Taarifa

View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19
 
TAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
 
Kama ndivyo basi wanaoajiriwa wapo na wenzi wao wapangiwe kituo cha kazi sehem moja. Vinginevyo Tamisemi inataka kuaribu ndoa za watu
 
Ess imefanya uhamisho kwa watumishi kuwa mgumu na sio haki tena kwa mwajiriwa

Hivi vyama vya wafanyakazi ni kama havipo kutetea wafanyakazi ni heri kuwepo na option ya kujitoa uanachama
 
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..

Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.

Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.

Taarifa

View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19

MKWE MWENYE KIFUA KIPANA yuko kazini....!!
In a serious note note. Hivi unategemea watu waanze kazi mpaka wastaafu katika kituo kimoja.....!? Unless wanazilenga kada za chini kama Cleaners, workhands and the likes.
 
Cha kusikitisha kada zingine za polisi, jeshi na watu wa usalama wao kuhama ni kawaida na hawana vikwazo, huu ni upendeleo
 
TAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
TAMISEMI ipo chini ya mla rushwa haswa
 
TAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
Acha upumbavu wako kwenu
 
Watakua walikua wanaonge wakiwa wamelewa tuwasamee
 
H
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..

Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.

Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.

Taarifa

View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19

Hii ni Kwa wenzangu na mie wasio na connection ila wengine watahama tu
 
Ess imefanya uhamisho kwa watumishi kuwa mgumu na sio haki tena kwa mwajiriwa

Hivi vyama vya wafanyakazi ni kama havipo kutetea wafanyakazi ni heri kuwepo na option ya kujitoa uanachama
Kama una 2M chap unahama ndani ya siku 3 (fanya makeke miezi 3 ya kwanza baada ya kuripoti).

Haya ni maneno tu yasikitishe, hata kwenye kanga yapo.
 
Back
Top Bottom