Kama una 2M chap unahama ndani ya siku 3 (fanya makeke miezi 3 ya kwanza baada ya kuripoti).
Haya ni maneno tu yasikitishe, hata kwenye kanga yapo.
Acha utapeli wewe, mtu hawezi kuhama Hadi athibitishwe kazini baada ya mwaka mmoja tokea aanze ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una 2M chap unahama ndani ya siku 3 (fanya makeke miezi 3 ya kwanza baada ya kuripoti).
Haya ni maneno tu yasikitishe, hata kwenye kanga yapo.
Sio kweli waulize wengi wao wajaribu kuomba uhamisho toka porini kwenda mijini wakwambieCha kusikitisha kada zingine za polisi, jeshi na watu wa usalama wao kuhama ni kawaida na hawana vikwazo, huu ni upendeleo
Hiyo unayosema wewe ni kwa mujibu wa taratibu. Hii ninayokuambia mm ni kwa mujibu wa mission town.Acha utapeli wewe, mtu hawezi kuhama Hadi athibitishwe kazini baada ya mwaka mmoja tokea aanze ajira
We unashindwa nini kuniambiaSio kweli waulize wengi wao wajaribu kuomba uhamisho toka porini kwenda mijini wakwambie
Hiyo unayosema wewe ni kwa mujibu wa taratibu. Hii ninayokuambia mm ni kwa mujibu wa mission town.
Kama unaishi Kolomije au Nanyumbu huwezi kunielewa. Nothing is impossible under the sun.
Ess ndiyo imekuja kuua uhamisho,We unashindwa nini kuniambia
Uhamisho kwa sasa ni mgumu sana hasa baada ya kuja hiyo Ess
Na mimi najua watu wawili waliohama kwa connection tena mwaka huu, usibishe..kuna ambao wanafanya kweliWewe hakuna kitu kama hicho
Mimi nawajua watu wa tatu wametapeliwa na mmoja alibakiza kupata kibali tu Cha uhamisho na ni mtoto wa town lkn naye aliingizwa Cha kike
Walikutana na wahuni tu wa mjini wasiojua mission town. Ndiyo maana inatakiwa kufukunyua huo mpunga wa 2M, dakika za jioni kabisa (hatua ya mwisho) ndiyo unautuma. Kuishi mjini peke yake bila darasa hata moja ni sawa na F6 ya huko SumbawangaWewe hakuna kitu kama hicho
Mimi nawajua watu wa tatu wametapeliwa na mmoja alibakiza kupata kibali tu Cha uhamisho na ni mtoto wa town lkn naye aliingizwa Cha kike
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..
Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.
Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.
Taarifa
View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19
Option ipo mana sio lazima,andika barua wakuondoe tu.Ess imefanya uhamisho kwa watumishi kuwa mgumu na sio haki tena kwa mwajiriwa
Hivi vyama vya wafanyakazi ni kama havipo kutetea wafanyakazi ni heri kuwepo na option ya kujitoa uanachama
Hilo ndio lengo kuu la ess,sasahivi lawama mpeleke kwenye mfumo😅Ess imefanya uhamisho kwa watumishi kuwa mgumu na sio haki tena kwa mwajiriwa
Hivi vyama vya wafanyakazi ni kama havipo kutetea wafanyakazi ni heri kuwepo na option ya kujitoa uanachama
Ukiwa na hela hiyo nasiki unachagua wewe uende wapi,na baada ya zoezi wadau wanakuuliza kama kuna wana washitue😅😅,anyway hii nchi ukiwa na hela wewe ndio katibu mkuu.Kama una 2M chap unahama ndani ya siku 3 (fanya makeke miezi 3 ya kwanza baada ya kuripoti).
Haya ni maneno tu yasikitishe, hata kwenye kanga yapo.
Kwa walimu na watu wa Afya au maafisa ugani naunga mkono hoja ya Tamisemi.TAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
Hawana majukumu ya msingi Vijijini kama watu wa Afya,Elimu na Kilimo.Cha kusikitisha kada zingine za polisi, jeshi na watu wa usalama wao kuhama ni kawaida na hawana vikwazo, huu ni upendeleo
Namshangaa mdau mmoja hapo juu anabisha wakati hapa mjini hata barua ya ikulu ukitaka unapata.Ukiwa na hela hiyo nasiki unachagua wewe uende wapi,na baada ya zoezi wadau wanakuuliza kama kuna wana washitue😅😅,anyway hii nchi ukiwa na hela wewe ndio katibu mkuu.