Kama ndivyo basi wanaoajiriwa wapo na wenzi wao wapangiwe kituo cha kazi sehem moja. Vinginevyo Tamisemi inataka kuaribu ndoa za watuTamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..
Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.
Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.
Taarifa
View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..
Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.
Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.
Taarifa
View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19
MKWE MWENYE KIFUA KIPANA yuko kazini....!!
In a serious note note. Hivi unategemea watu waanze kazi mpaka wastaafu katika kituo kimoja.....!? Unless wanazilenga kada za chini kama Cleaners, workhands and the likes.
TAMISEMI ipo chini ya mla rushwa haswaTAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
Acha upumbavu wako kwenuTAMISEMI ni wizara yenye urasimu sana kwenye issue ya uhamisho. Wametengeneza mazingira ya rushwa na kupelekea baadhi ya watumishi kutapeliwa. Siku hizi ni RUSHWA, RUSHWA, RUSHWA na hakuna anayejali.
Sioni utawala bora katika kipindi hiki. Bora wakati wa bwana yule.
Namwomba Mungu mwaka 2025 kabla na baada ya uchaguzi jambo flani litokee.
Ukiwa na matatizo ya akili unashauriwa uanze kliniki ya psychiatricAcha upumbavu wako kwenu
π€£π€£π€£ PamojaUkiwa na matatizo ya akili unashauriwa uanze kliniki ya psychiatric
Hii ni Kwa wenzangu na mie wasio na connection ila wengine watahama tuTamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..
Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali kama ilivyo kuwa mwanzo kama kufuata wenza etc.
Wengi wameonyesha kuto kuridhishwa na kauli hiyo yabtamisemi kwani ni kama kuwakomoa waajiriwa na kuwatisha.
Taarifa
View: https://x.com/ortamisemitz/status/1868340252462731319?t=OqdtrjMksMbS2EgHVRzjig&s=19
πππ pamoja kiongoziπ€£π€£π€£ Pamoja
Kama una 2M chap unahama ndani ya siku 3 (fanya makeke miezi 3 ya kwanza baada ya kuripoti).Ess imefanya uhamisho kwa watumishi kuwa mgumu na sio haki tena kwa mwajiriwa
Hivi vyama vya wafanyakazi ni kama havipo kutetea wafanyakazi ni heri kuwepo na option ya kujitoa uanachama