TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya.
Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi.

Source: TBC habari
 
Watakuwa wapi!!! Au walishapata barua na sasa wanaendelea na majukumu mengine
 
Hahaahaa... Mkuu naona unawawekea FIGISU...wengi tu wamerudi wasio na makuu..
Ila wengine wanajishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…