Sasa mkuu peke Yako ndiyo una elimu ya degree ama hiyo master unahisi ni big deal siku hizi?Sifa zipi unazozijua. Ikiwa una degree moja na masters juu unataka nini kingine..usilolijua kaa mbali nalo
Zaidi ya asilimia 90 ya walimu wa sekondari ni wenye degree sasa mkuu unataka nafasi ya mkuu wa shule mpige kura ama? Afisa elimu wilaya pamoja na afisa taaluma wanaweza kumpendekeza mwalimu yoyote mwenye degree ndani ya shule za sekondari wilayani mwenye uzoefu kuwa mkuu wa shule. Sasa wewe endelea kulaumu utakonda Bure. Piga kazi mkuu achana na mambo hayo hizo posho za laki mbili na nusu zitakuletea maadui badala ya marafiki.Sifa zipi unazozijua. Ikiwa una degree moja na masters juu unataka nini kingine..usilolijua kaa mbali nalo
Achana na jina nyie ndiyo mmeendekeza majungu Fanya kazi..The lost mkuu jina zuri
Utawala wa mama umemleaje? Wewe una matatizo siyo bure.Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia.
Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu wakuu ni wakina Albert Ainstein, Isaac Newton, na wengine huyu mbaba anaona wanataaluma wa kiswahili hawafai kuwa wakuu wa shule.
Malaya na aliyejaa majigambo. Utawala wa Mama umemlea na imetosha aondoke.
Atakuwa anamjua tabia zakeUtawala wa mama umemleaje? Wewe una matatizo siyo bure.