TAMISEMI imulikeni Halmashauri ya Bagamoyo ni wasanii

Naju23

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
47
Reaction score
77
Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia.

Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu wakuu ni wakina Albert Ainstein, Isaac Newton, na wengine huyu mbaba anaona wanataaluma wa kiswahili hawafai kuwa wakuu wa shule.

Malaya na aliyejaa majigambo. Utawala wa Mama umemlea na imetosha aondoke.
 
Huko Bagamoyo, watendaji wanafuja fedha halafu wanajificha nyuma ya ushirikina.

Kuna mwaka kigogo mmoja alikuwa amejipanga kwenda kuwatumbua viongozi wa wilaya ya Bagamoyo, msafara wake ukapata ajali.

Watu wengi sana walifariki na kujeruhiwa. Magari yote ya kwenye msafara huo yakageuka kuwa ambulances. Na ziara ikafa kifo cha mende.
 
Walimu punguzeni majungu, nafasi za ukuu wa shule unataka uteuliwe bila kuwa na sifa sitahiki? By the way usipende sana kuteuliwa mkuu.
 
Sifa zipi unazozijua. Ikiwa una degree moja na masters juu unataka nini kingine..usilolijua kaa mbali nalo

Sasa mkuu peke Yako ndiyo una elimu ya degree ama hiyo master unahisi ni big deal siku hizi?
 
Ulitegemea nini kutoka wilaya ya Kaole Sanaa Group zaidi ya usanii 😄
 
Sifa zipi unazozijua. Ikiwa una degree moja na masters juu unataka nini kingine..usilolijua kaa mbali nalo
Zaidi ya asilimia 90 ya walimu wa sekondari ni wenye degree sasa mkuu unataka nafasi ya mkuu wa shule mpige kura ama? Afisa elimu wilaya pamoja na afisa taaluma wanaweza kumpendekeza mwalimu yoyote mwenye degree ndani ya shule za sekondari wilayani mwenye uzoefu kuwa mkuu wa shule. Sasa wewe endelea kulaumu utakonda Bure. Piga kazi mkuu achana na mambo hayo hizo posho za laki mbili na nusu zitakuletea maadui badala ya marafiki.
 
Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia.

Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu wakuu ni wakina Albert Ainstein, Isaac Newton, na wengine huyu mbaba anaona wanataaluma wa kiswahili hawafai kuwa wakuu wa shule.

Malaya na aliyejaa majigambo. Utawala wa Mama umemlea na imetosha aondoke.
Utawala wa mama umemleaje? Wewe una matatizo siyo bure.
 
Walimu wengi vijijini ni walevi ndio maana ni jumu kuwa promoted,acheni pombe
 
Hatima
Screenshot_20240727_073145_WhatsApp.jpg

Mungu anajibu
 
Mungu hafichikwi.una maapenzi yako mumgu anayake
 
Back
Top Bottom