mwalimu wenu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 203
- 19
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.