Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

mwalimu wenu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
203
Reaction score
19
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.
 
Serikali haiwezi kuajiri watu wote kwa wakati mmoja lazima utambue ilo
 
Poleni, huenda kunamahala wamejisahau. Wanaweza kuwaajiri awamu ya pili labda au ndio ikawa nitolee hadi mwakani.
 
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.

Labda chuo chenu hakijulikani tamisemi
 
Mahitaji ni walimu wa sayansi kama hausomi sayansi bora ukatafute kaz nyingine.
 
usiwalaumu tamisemi ndugu huenda utawala wa chuo ulikuwa mbovu walishndwa peleka orodha ya majina wizaran.
 
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.

UDOM na ST.JOHN tu nina wasiwasi....
 
Mtapata kazi msihofu kabisa mh. Rais JK alishasema hatamwacha mwalimu hata mmoja
 
Nyie mmewekwa rizevu kwenda kujaza nafasi kule watu hawataenda ripot so cul daun mwalimu wenu
 
Last edited by a moderator:
Kweli dunia duara! Kuna wenzako wamepangwa serengeti eti wanagoma hawaendi.
 
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.

Vyuo vilevile vya kata ndio hawajapangiwa hahah
 
Jamani acheni dhihaka,mimi nimepangiwa ajira lakini si busara kuwakebehi ambao wana matatizo kama Saint John. Unaweza jifanya umesevu leo kesho ukakumbwa na tatizo katika ajira yako. Mungu ndie muamuzi wa yote, tuwaombee wenzetu wapate ajira sio kuwadhihaki. Hawa ni majirani zangu,nimesoma Udom wao saint john dom. Poleni jamaa zangu,fungeni na kuomba serikali yetu ni sikivu itawasikia na kuwaajiri tu.
 
Kama hamuelewi bora mkae kimya tu huyo kasema stju-dom akimaanisha St. John Univst ya dodoma sio Udom. Udom kila mwaka wanaajiriwa
 
poleni sana ndugu zangu wa st john ila naskia uongozi wa chuo chenu ndo ulichelewesha majina kuyapeleka wizarani, nahic ktk uongoz ndo kulikua na tatizo coz haiwezekani wanafunzi wote wa st john wasiajiriwe...but naamini mwenyez mungu atawasimamia mtapata tu ajira hata awamu ya pili...
 
Back
Top Bottom