Richard lugusi
Member
- Jan 15, 2015
- 67
- 8
Nyie nanyi mmezidi Mawenge" Mara mwingine Usiku huu, ooooh tar 28!.. Ptuuuuuu, kama kweli mna hao watu tamisemi, si wawambie mmepangiwa wapi afu mpige kmya. Sasa nanyi mwasubiri kama sie tusiokua na watu eti wa karibu tamisemi...Kaaa tulienii mbona kama mmetiwa ndimu SAMAHANI LAKINI.
mi mnanikeli na habari zenu! Kwahiyo hilojukumu kakabidhiwa mlinzi!!
Jamaaa uko poa sanaa, hawa jamaa wanatusumbua SI MTULIEEEEEE
Mi nimeambiwa tar28
Ebu tuacheni tuwaze kwa sautiii,khaaaa kama mna kazi c nyie? bwana eeeeeeh