Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kwa walimu wa shada
Bofya hapaa..
Kwa walimu wa stashahada
Bofya hapa....
Kwa walimu wa cheti
Bofya hapa...
Kivuli kinaishi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa walimu wa shada
Bofya hapaa..
Kwa walimu wa stashahada
Bofya hapa....
Kwa walimu wa cheti
Bofya hapa...
Walim inaeleke hamjalala kbs Jana ucku!!!
ndg wanajamvi kwa taarifa nilizozpata muda huu ni kwamba kuanzia muda uwe unatembelea website mara kwa mara coz mzigo utatemwa kuanzia leo usiku.source ofisi ya tamisemi dodoma
ndg wanajamvi kwa taarifa nilizozpata muda huu ni kwamba kuanzia muda uwe unatembelea website mara kwa mara coz mzigo utatemwa kuanzia leo usiku.source ofisi ya tamisemi dodoma
Hahahaha mkuu we ni nomataarifa za uhakika ni kwamba flash iliyokuwa na majina mheshimiwa alienda nayo nyumbani bahati mbaya mtoto wake aliichukua akaiformat akaijaza nyimbo! Kuweni na subira wanaanza mchakato upya.
Nimeona kila mtu anakuja na taarifa na mimi taarifa hiyo!