TAMISEMI kuachia mzigo usiku

TAMISEMI kuachia mzigo usiku

Mwaka jana zilianza kutoka kwenye viblog wakati Tamisemi ilikuwa haifunguki.

Kuweni na subira naamini mambo yatakuwa mazuri.
 
taarifa za uhakika ni kwamba flash iliyokuwa na majina mheshimiwa alienda nayo nyumbani bahati mbaya mtoto wake aliichukua akaiformat akaijaza nyimbo! Kuweni na subira wanaanza mchakato upya.

Nimeona kila mtu anakuja na taarifa na mimi taarifa hiyo!
Hahahaha mkuu we ni noma
 
Back
Top Bottom