Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Acha roho mbaya hiyo ya kumtakia mh.mabaya, uwaziri hausomewi ,Bashungwa yuko smart ataimudu hiyo wizara.Bashungwa na hii Wizara awaendani kabisa halafu ukichukulia alichofanya mtangulizi wake.
Ni swala muda mfupi utaanza kusikia “bora Ummy”!
Akufukuzae hakwambii tokahii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
Kwani kuna vyuo vya kusomea uwaziri?hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
hakuna chuo cha kusomea mkuu ila pambanua kinachozungumzwa sio kwamba hafai kuwa waziri hapana, bali amepewa wizara yenye mambo mengi sana inahitaji uwe mfuatiliaji kweli na ukali uwe nao ndio utaimudu hii wizara tofauti na hapo ni mtego wa kutumbuliwa tu;Kwani kuna vyuo vya kusomea uwaziri?
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
Bashungwa ni laid-back type of person. Ni type ya akina Mollel, Masauni, January Makamba, Tulia na kadhalikaAcha roho mbaya hiyo ya kumtakia mh.mabaya, uwaziri hausomewi ,Bashungwa yuko smart ataimudu hiyo wizara.