Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
 
Akufukuzae hakwambii toka
 
Kwani kuna vyuo vya kusomea uwaziri?
 
Kama hamna chuo cha kusomea uwaziri basi ataweza,kama mhandisi anaweza kupewa wizara ya mambo ya ndani yeye kwa nini asiweze?
Kila la kheri bashungwa
 
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi..
anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!

Uwaziri ni political goal keeping positions TU, hakuna cha zaidi thats why mteuliwa anakaa mieZi au one year anahamishwa ama awamu moja ana wizara 3 sasa hapo pakoje?

Same as DC, RC and the likes. Ndio maana once kuna waziri alikua wa ulinzi akapewa wizara ya Afya, afya kuwa tamisemi, mambo ya ndani kuwa kilimo ect ect
 
Watanzania kwa kulalamika. Alipewa ummy watu kila mkasema haimfai .Aya katolewa kapewa Bashungwa hata hajaanza majukumu tayari tushaanza kulalamika. Nadhani hata akiletwa malaika atuongoze tutalalamika.
 
Hebu tuone but ni kati ya Wizara muhimu sana na yenye kuhitaji mtendaji mahiri atakayeweza kuisukuma mbele vilivyo.
 
kule kuzubaa kwa bashungwa nawaambieni hii wizara hakai miezi mminne
 
Huko mdogo wangu inabidi akachangamke kidogo maana naona jamaa ni mpole sana
 
Hizo nafasi hazina malengo au target ya kufikia( kazi hazina KPI) ata mtu mwenye digirii ya kulishwa ng’ombe anaweza fanya
 
Acha roho mbaya hiyo ya kumtakia mh.mabaya, uwaziri hausomewi ,Bashungwa yuko smart ataimudu hiyo wizara.
Bashungwa ni laid-back type of person. Ni type ya akina Mollel, Masauni, January Makamba, Tulia na kadhalika
Hii wizara inatakiwa aina ya akina Ummy, Angrey Mwanri, Mchengerwa etc

Hii wizara ukicheka na nyani utavuna mabuwa!

Bashungwa ana uwezo lakini kuna sehemu unaweza kuteua mtu hasiwe effective na ukamweka sehemu nyingine akafanya vizuri. Sio kumwombea mabaya lakini subiri uone madudu yatakavyo anza kujitokeza kwenye hii wizara!!
Bashungwa anafaa kama Wizara ya Uwezekaji, Utalii, Mazingira…
 
Back
Top Bottom