Tamisemi,Kwanini mnatutesa?

lakini pia wale sjut-dom,walipata post at the same time with those whose their names displayed on 15th of march,so don't u see that hupaswi kusema kuwa wao wameziba nafasi kwa wale ambao hawataripoti?
 
haya bwana endeleeni kusubiri awamu ya pili vingozi,halafu nlikuwa sijui kama watu wa TAMISEMI na wizara za serikali hawana ruhusa ya kupitia mitandao ya kijamii wala kutoa wanacho kisikia
 
lakini pia wale sjut-dom,walipata post at the same time with those whose their names displayed on 15th of march,so don't u see that hupaswi kusema kuwa wao wameziba nafasi kwa wale ambao hawataripoti?

unatakiwa kutambua kuwa orodha ya sjut imetoka baada ya idadi ya ajira kutangazwa ambayo ilipitishwa kwenye budget na wao wote 318 hawakuwepo.endeleeni kusubiri awamu yapili walimu.
 
unatakiwa kutambua kuwa orodha ya sjut imetoka baada ya idadi ya ajira kutangazwa ambayo ilipitishwa kwenye budget na wao wote 318 hawakuwepo.endeleeni kusubiri awamu yapili walimu.

Poa mkubwa,asante kwa taarifa,ila kama kuna private unaifahamu inahitaji mwalimu,niunganishe
 
Unajua mcharge hawa watu tuwasikilize tu maana wakati mwingne wanatujengea namna ya kujipanga kimaisha kama mwaka huu hatutaajiriwa,usiwachukie,by the way kila mtu ana haki ya kuongea...mwache mtu atiririke unaweza ukapata point ya kusimamia hata ktk kudai haki yako
 
Nimekuelewa mkuu
 
Kama umechukua masomo ya Sanaa usitegemee ajira maana wamejaa hata pa kwenda hakuna labda kidogo wa sayansi usilaumu angalia na upepo mwalimu.
 
Kama umechukua masomo ya Sanaa usitegemee ajira maana wamejaa hata pa kwenda hakuna labda kidogo wa sayansi usilaumu angalia na upepo mwalimu.

kwani walioajiriwa mwaka huu ni wa sanaa tu au wa sayansi tu?
 
Kama umechukua masomo ya Sanaa usitegemee ajira maana wamejaa hata pa kwenda hakuna labda kidogo wa sayansi usilaumu angalia na upepo mwalimu.

Acha kuudanganya umma wewe lete takwimu zinazo onesha ukweli wa hayo uyasemayo,, swala la walimu bado ni tatizo tanzania sababu hata sasa pamoja na ajira mpya hizi bado kuna shule zina wnanafuzi 800 walimu 6 ,ila upungufu zaidi ni walimu wa sayansi lakini uhitaji bado upo hta jwa walimu art hasa shule za vijijini
 
Mwambie huyo
 
Nipo arusha mkuu

Mi np dar mkuu ila tamisemi ya hapa dar nimeenda zaidi ya mara 8 amna jipya tungempata mtu wa dodoma tungemuagiza pale makao makuu tamisemi dodoma tukajuwa inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…