sulle23
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 230
- 14
- Thread starter
- #41
Kiongozi kama unaona nakudanganya endeleen kusubiri hiyo awamu ya pili ila unatakiwa kufahamu kwamba awamu ya pili huwa ni kuziba mapengo ya wale ambao hawaja riport vituon kwa awamu ya kwanza na kwa taarifa ambazo zimesha asha kufika TAMISEMI kutoka halmashauri mbali mbali nchini idadi ya walio report vituon kwa mwaka huu imekuwa kubwa sana na kwa wale ambao hawajariport idadi yao imekuwa fixed na st.john ambao majina yao yalitoka baada ya ile hesabu ya 36000 kutangazwa, na unatakiwa kutambua kwamba idadi hii inakamilishwa na awamu zote mbili yaan ya kwanza na wasio report inakuwa fixed awamu ya pili na lazima idadi ifikie hiyo sababu ndiyo iliyo tengewa budget na hazina na si zaid, nafikiri kwa maelezo hayo nitakuwa nimeeleka vyema mwalimu wetu.
lakini pia wale sjut-dom,walipata post at the same time with those whose their names displayed on 15th of march,so don't u see that hupaswi kusema kuwa wao wameziba nafasi kwa wale ambao hawataripoti?