Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali la kujiuliza
a) Tuna sufficient za hao watu katika hizo sehemu nyeti kabisa katika maendeleo ya nchi (bila elimu na afya maendeleo ni ndoto kwa nchi)?
b) Mwaka huu zile propaganda za ajira 23000 ni kwa ajili ya kupata kura? Itoshe kusema hali ya ajira kwa vijana waliosoma na wasiosoma si nzuri kiujumla
NB: HUU UZI UPO KAMA SWALI SIO MAONI UKIJIBU MAANA YAKE UNAJIBU KWA FACT AU MAONI YAKO NAYAPOKEA
Nawasilisha
wasalaam