TAMISEMI mbona kimya mwezi wa sita huu mwaka huu hawaajiri Walimu na Afya?

Kwanza hazitoombwa kwa pamoja ni kila wilaya(Halmashauri) watatangaza kivyao

Kutakuwa na mtihani kwa waombaji

Kwaiyo kuchelewa huku ni mipango ipo inawekwa sawa but ZITAKUWA NDIO AJIRA ZA HOVYO ZAIDI KUWAI KUTOKEA TAMISEMI
zitakua tayati

naziona ajira portal. kada zingine wanafanya pia usali wacha na wao wachujwe
 
Ajira za walimu zilishatangazwa tayari na deadline ilishapita
Zilitangazwa na nani????
maana wanaotangaza ajira za walimu ni tamisemi na mwaka huu hawakutangaza
pia ajira za afya hutangzwa na kuombwa tamisemi mwaka huu hawakutangaza
 
Sio hizo
Hizo za ajira portal zilikuwa special kwa kujazia sehemu ambazo walimu walikimbia/waliacha/kufukuzwa au kufariki na moja ya masharti yake ni kuwa ukipangiwa kituo hakuna kuhama
kifupi mwaka huu ajira hamna,mama anaenda kutafutia vijana ajira nje ya nchi
 
Kwanza hazitoombwa kwa pamoja ni kila wilaya(Halmashauri) watatangaza kivyao

Kutakuwa na mtihani kwa waombaji

Kwaiyo kuchelewa huku ni mipango ipo inawekwa sawa but ZITAKUWA NDIO AJIRA ZA HOVYO ZAIDI KUWAI KUTOKEA TAMISEMI
So kila halmashauri itatangaza at the same time kivyao au kila moja na muda wake? Pia hapo si mtu atapata ajira zaidi ya moja ktk uombaji? Maana ataweza kuomba ktk halmashauri zaidi ya moja.
 
kwanza hii taarifa umeitoa wapi?????
 
Humu TU humu Tu kubababakeeee weka weka weka weka.
Matango pori mengi humu.
Huu utawala wa chura akuna ajira
 
kifupi mwaka huu ajira hamna,mama anaenda kutafutia vijana ajira nje ya nchi
Ajira zipo soon kilichochelewesha ni namna mpya ya utoaji (bado kuna mnyukano wa ndani kwa ndani) wapo wanaotaka zitolewe kama miaka ya nyuma na wapo wanaotaka watu waombee kwenye halmashauri zao
 
So kila halmashauri itatangaza at the same time kivyao au kila moja na muda wake? Pia hapo si mtu atapata ajira zaidi ya moja ktk uombaji? Maana ataweza kuomba ktk halmashauri zaidi ya moja.
Zitatangazwa pamoja but wataombea halmashauri husika
 
Sio hizo
Hizo za ajira portal zilikuwa special kwa kujazia sehemu ambazo walimu walikimbia/waliacha/kufukuzwa au kufariki na moja ya masharti yake ni kuwa ukipangiwa kituo hakuna kuhama
Kama ni hovyo,kwann hazikujumulishwa kwenye ajira za Tamisemi badala yake zikapita ajirapottal ya utumishi?
 
IMG-20240612-WA0006.jpg
 
Mkuu unaongellea ajira za mwaka 2023/2034
😀😀😀 huo mwaka umeisha
Sasa tunaongelea ajira za mwaka 2024/2025 tunaouanza july 1
YES,YAANI MWAKA HUU MPYA WA KISERIKALI WA 2024/2025 HAKUNA WATU WA AFYA AU WALIMU WALIOAJIRIWA SERIKALINI NA HAKUNA HUUO MPANGO KOZ KILA KITU KISHAFUNGWA(BBAJETI ZISHAPITISHWA)
sisi emu oye
mama anaupiga mwingi
 
Hatujauanza bado, nadhani huelewi mwaka wa serikali unaanza lini??
Mwaka 2024/2025 tutaanza july mosi yaani mwezi ujao
Mwaka 2023/2024 tunaumaliza mwezi huu june tarehe 30
serikali iliajiri mwezi wa 7 mwaka jana ambao ni mwaka wa fedha 2023/2024
Tunaoenda kuanza july mosi ni mwaka 2024/2025 ndio bado ajira kutoka na ndio zinazozungumziwa hapa
Ahsante
 
ASANTE,nina imani tulipishana padogo tu,ulichosema ndicho nilichokua namaanisha
 
Hatujauanza bado, nadhani huelewi mwaka wa serikali unaanza lini??
Mwaka 2024/2025 tutaanza july mosi yaani mwezi ujao
Mwaka 2023/2024 tunaumaliza mwezi huu june tarehe 30
serikali iliajiri mwezi wa 7 mwaka jana ambao ni mwaka wa fedha 2023/2024
Tunaoenda kuanza july mosi ni mwaka 2024/2025 ndio bado ajira kutoka na ndio zinazozungumziwa hapa
Ahsante
Sio kweli mwaka Jana tarehe 12 mwezi wa nne serikali walitangaza ajira na tarehe 5 mwezi wa 6 walitangaza majina ya waliofanikiwa kuuona ufalme wa mbingu wakale keki ya taifa na walitakiwa kuwasili ndani ya siku 14 .mwezi wa Saba uliwakutia malishoni
 
Kada za afya ajira 13,187...vipi upande wa ualimu au sijasikia vzr?
 
Back
Top Bottom