TAMISEMI mbona kimya mwezi wa sita huu mwaka huu hawaajiri Walimu na Afya?

Zitatangazwa pamoja but wataombea halmashauri husika
Kwamba ukiapply halmashauri ya Hai, hutorihusiwa kuapply na halmashauri ya Nkasi at the same time? Au unamaanisha unaomba ajira halmashauri unayoishi kwa muda huo?
 
Unawaza ajira ni sawa ila connection unayo?
Zinaweza kutangazwa alaf wakapata wenye connection zao tuu
 
Unawaza ajira ni sawa ila connection unayo?
Zinaweza kutangazwa alaf wakapata wenye connection zao tuu
Acha kuwaza mambo ya connection...aweke juhudi kama vigezo anavyo atapata...vinginevyo atakuwa chawa au ataliwa bure
 
Ajira tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…