TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Kwenu watendaji wa Tamisemi.

Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
 
Kuna wengime wamesomea ualimu lkn ni mabogasi tu kichwan
 
Pia Kuna wengine wana degree za uchumi lakini hawana talanta Wala mbinu za ufundishaji yaani wanafundisha ili mkono uende kinywani.
Hahaha sasa wapi tuanzie ?

Tupeleke mabumunda wakafundishe vijukuu vyetu ? Au heri tuwe na wachumi wapiga danadana
 
Kwenu watendaji wa Tamisemi.

Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
TAMISEMI wanaangalia aliyeandika barua vizuri inayovutia, hivyo tulia.
 
Kwenu watendaji wa Tamisemi.

Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
We inakuuma nini au stress za maisha?
 
Tanzania hii unaweza ukaachwa mwalimu then akachukuliwa asiye mwalimu [emoji23][emoji23]

Kuna mtu namjua amesoma Bsc mathematics kaajiriwa na anapiga mzigo
Kweli mkuu me nimiongoni mwa watu niliyefundishwa na wasiyo walimu, eti kisa mtu anaweza kusolve mathe anapewa chaki afundishe basi kufundisha haijui ila inafundisha ili mkono uende kinywani

Mwingine unakuta alisomea Public administration baada ya kukosa Ajira anaona Bora akafundishe wakati halina hata mbinu za kufundisha na hii yote wanasababisha maafsa Elimu. Kufundisha ni Kipaji ila waliowengi wanafundishia njaa
 
Kwenu watendaji wa Tamisemi.

Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
hivi waalim mbona wao huwa wanalalamikaga tuuu mara ajira sjui zlkua znasumbua mtandao mara mshahara mdogo. Mara uhamisho.. yan sjui chuon nanafundshwa ili waje kuwa watoa lawama me hapo ndo nlshndwa kuwaelewa. Na kingine ajira hiz za juz sjaona lawama za wahitimu wa sekta ya afya sasa walim daah kila mda mara husabat halipo mara kiswahili sjiu
 
Back
Top Bottom