unapingana na elimu bureKweli mzazi huoni aibu kulipa 1,500/= kwa mwezi kwa ajili ya elimu ya mtoto wako? Hivi huwa mnategemeaga nini? Mi ningekuwa mwalimu mkuu wote mngelipa 10,000/= kwa mwezi
Mtu hana hata mtaji wa kufungua genge anawezaje kuwa millionaire?“Inawezekana pia kufanikiwa mpaka kuwa millionaire bila kuajiria popote toka uzaliwe” By Regent.
Ningependa walimu kama moja ya taaluma yenye maslahi finyu kuishi katika msemo huu siku moja watanishukuru.
Tena ukute wanaojitolea wengi wao hawakwenda chuo cha ualimu ila kwakuwa wanajua kusolve math basi wanapewa chakiWale hawajitolei bure kama wengi wanavyoamini isipokuwa wanalipwa na wazazi ndio wanachanga hizo pesa za kuwalipa
Na ukute hawajapita mafunzo ya ualimu yaani hawakwenda chuo cha ualimu ila kwakuwa wanajua kusolve math manawapa chaki wafundisheWanalipwa,kuna s/m huku wazazi/walezi tunalipa tsh 1500 kila mwezi kwa ajili ya mwalimu anayejitolea.
Nilikuwa najifunza Motisheni Skiping hongera kwa kunidukua.Mtu hana hata mtaji wa kufungua genge anawezaje kuwa millionaire?
Acha kutuzuga na conspiracy theories ambazo hazina maana katika maisha ya kawaida mkuu
Shule hazina uwezo wa kubeba walimu wengi wa kujitolea kwa sababu hazina pesa za kuwalipa. Kama vipi serikali iweke utaratibu mzuri ili walimu wa kujitolea wawe wanalipwa na halmashauri uone kama shule hazitajaa walimuThen nadhani kila mtu asiye na ajira akajitolee basi
Mkuu upo mkoa gani?Hakuna anayefundisha bila malipo wote wanalipwa
Michango ya walimu wa sayansi wanayo changishwa wazazi ni ya kazi gani?Unaongea uongo kwa faida ya nani?
Mimi na wenzangu watatu, mmoja Mathematics, mmoja Physics na mmoja Chemistry rumejitolea shule moja hapa Dar toka mwaka jana na hatujawahi lipwa hata senti tano.
Mwisho wa siku ajira kapata mmoja wengine wote tumekosa wakaenda kupata waliokuwa private.
Kama kuna mtu anayejitolea na analipwa ni huko kwenu, huwezi sema kila anayejitolea analipwa.
By the way sijitolei tena sababu ajira zinatolewa kindugu.
MITANO TENA.
Wapo wengi mkuuNa ukute hawajapita mafunzo ya ualimu yaani hawakwenda chuo cha ualimu ila kwakuwa wanajua kusolve math manawapa chaki wafundishe
Daftari la mahudhurio litatumika kuhakiki wanaostahili nasikia watakaobainika kuchomeka watu wao watakuwa na wakati mgumuKwa maana kinatoa mwanya kwa wakuu wa shule na maafisa elimu kata kuchomeka watu kwa hongo au ndugu zao kwa lengo la kuwasaidia kupata ajira serikalini kwa haraka.
KabisaWapo wengi mkuu
Kuna mmoja kasomea uhandisi wa migodini(MINING ENGINEERING ) ajira imekuwa ngumu kwa upande huo yupo anafundisha physics kwenye shule ya kata