TAMISEMI mpo wapi, Wilaya ya Mvomero hakuna kinachoendelea. Ni upigaji, uonevu wa watumishi na ushirikina tu

Ni kweli ukileta umama Mvomero unakufa kuna mtu mmoja alikuwa hr alileta wakamuua. Mvomero siyo kabisa
 
1.Nimesema wazi kwamba mimi sio mtumishi,ila ni mkazi wa Wilaya hiyo.
2.Hakuna haja ya kutaja majina,kama TAMISEMI wapo serious wakifuatilia watapata taarifa zote kwa watumishi.
3.Kuhusu fedha TAMISEMI wakiwasiliana na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbigiri au kamati ya Shule,watapata taarifa zote.
 
Ukiona madudu yamekuwa mengi ujue ofisi ya DT inatakiwa yote ifumuliwe pengine wametumikia hapo kwa muda mrefu.
Umenikumbusha kipindi cha magu kuna jamaa yangu alikuwa hapo kama mhasibu wa mapato/makusanyo ya wilaya, walimfanyia figisu akawa demoted mpaka mhasibu wa shule akapiga chini.
 
Sina hamu na wilaya hii
 
Amekuja Mtetezi , Waziri Mchengelwa
 
Aisee,Wilaya hii noma.Na yupo Mwenyekiti wa Halimashauri Ex.Std.III.Huyo ndiye ameambukiza Halimashauri yote ushirikina,na ni mpigaji kweli kweli.Ukimzuia tu kwenye upigaji,aidha uondolewe kwenye position yako kabisa,uwe demoted au ulogwe ufe.Hali ya Mvomero ni mbaya frankly,something needs to be done, and quickly.
 
Kama mnaogopa wenyewe kusema kisa kuhofia kurogwa, tuwasaidiaje? Kama haki yako unakaa kimya kesho ukidhalilishwa utafungua mdomo?

Tujifunze kuhoji kwenye haki, vinginevyo tunatengeneza taifa la waoga na watu wasioweza kujisemea kisa hofu na mashaka ya kipuuzi

Nb. Ushauri wangu ni huu, damu ya Yesu inaponya, wamwamini Mungu na waache hofu za kijinga
 
Wengi hawajamuamini Mungu ndio maana wana hofu.Hata hivyo taarifa niliyotoa ni detailed enough kwa TAMISEMI kuweza kuchukua hatua stahiki,kama wapo interested.
 
Halafu PCCB wapo pua na mdomo na DC na DED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…